F Arsenal, Marseille, Olympiakos, Borussia Dortmund
Kila la heri kwenye group stages.
This is the 14th season in a row Arsenal have qualified for the Champions League, only Man Utd & R Madrid are on a longer run.
Arsenal have won their last 5 home games against German opposition, including a 2-0 win v Dortmund in 2002. - Opta Stats
jamani naombeni group zingine za chap leugeu
<br />ongeren kwa ku clear SUP...naona mmeshangilia kwelkwel knife egde survivor...
Breaking News: Unhappy with their draw, Man City has submitted £40 millions bid to Arsenal's group.
Mkuu wewe ni kuiandama Arsenal tu basi.kila la heri watani
Mkuu wewe ni kuiandama Arsenal tu basi.
Mkuu wewe ni kuiandama Arsenal tu basi.
hahaha jamaa anatukubali...
<br />
<br />
Hahahaah,umeniacha hoi mtani,lakini tangu lini profesa aka-clear sup?okay basi alijitungia mwenyewe mtihani!
Kuna watu walikuwa wanamponda sana dogo,siku hizi amekuwa bonge la striker kama Mascherano alivyokuwa bonge la beki siku hiziFabregas 3 Arsenal 0....and he scored a nice goal!
Kuna watu walikuwa wanamponda sana dogo,siku hizi amekuwa bonge la striker kama Mascherano alivyokuwa bonge la beki siku hizi
Game 3 goli 3 ,Messi pekee ndio anamzidi
Fabregas 3 Arsenal 0....and he scored a nice goal!
Gerard Pique alikaa Manu misimu 3 na lishinda Ngao ya Jamii,Premier League na Champions League wakati Fabregas amekaa Arsenal misimu 8 but ameambulia FA Cup na Ngao ya JamiiCongrats cesc for being among the heros,hata Gerald Pique angebaki manYoo Fc asingekuwa part ya mafanikio makubwa ya Barca Fc!