Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal walificha kesi ya Partey pamoja na kelele za yule Malaya kwenda mitandaoni kutaka Partey azuiwe bado Arsenal walisimama na Partey ,yule Malaya alikula spana kutoka kwa mashabiki wa Arsenal mpaka aka deactivate account

Shutuma za yule Malaya hazina tofauti na hizi za Anthony masebene

Anthony masebene ana shutuma karibu 3

Shughuli yake imeisha hapo

Manjesta wanaendeshwa Sana na Feminist
Arsenal ina mashabiki hai na ina nguvu Sana kwa wachezaji wake kuliko timu yoyote ile duniani

Ata kwenye usajiri, mashabiki huwa wanaingilia kati kuongeza ushawishi

Patoranking alimtumie meseji partey ili ajiunge arsenal
Mudryk tulimpambania aje arsenal ya NDOO, asali na maziwa. Amechagua mateso ya ukengeni fc

Case Kama hizo zipo nyingi sana

Ata leo ikitokea saka amebaka demu, hataachwa kinyonge. Atapambaniwa Hadi aonekane innocent
Partey alipiga yule Malaya wa moroco kihuni, demu akaona Kama ame- be dumbed, akataka a-take advantage. Alichokipata kwa mashabiki wa the gunners hatakuja kusahau
Na uzuri body ya arsenal ilimkumbatia partey mwanzo mwisho

Nyumbu Wana vingi vya kujifunza kutoka kwetu, jinsi ya ku-handle situations Kama hizi

#COYG
 
Nyie ndio wale mnaodanganywa na wanasiasa

Sauti ya wengi sauti ya Mungu
Umebaki pekee yako na Arteta ndio mnaamini huu mzigo unaweza kubadilika😂. @mkohoti
f5q-ztkxoaacm9a-jpeg.2745128.jpg
 
Naona mnachambua tembele kama kawaida yenu... no UCL no right to speak, soka la mataji makubwa nyie hamliwezi
 
Umebaki pekee yako na Arteta ndio mnaamini huu mzigo unaweza kubadilika. @mkohotiView attachment 2745541

We play Everton next after the break. If Arteta had the confidence to play Kai Havertz against a counter attacking team like Manchester Uinted, then he will definitely play him against Everton.

His cute turns and short runs into the box will be essential to cut the toffeess open.

His numbers in comparison to Xhaka are pretty impressive. Just needs a goal to relief some pressure and I’m sure we’ve got a real player in him.

Havertz has the qualities to match that or do better, his movement, work rate and winning duels is crazy, just needs confidence

Havertz attacking spaces with the ball, and bustling overlaps. I will be there no matter what! Arteta clearly knows it & why he’s trying to build him up mentally. The penalty incident against Man United is one of the things we are going to see with time. He has that quality in him

He was in the end of most runs against United. finishing is poor no doubt but there is room to improve. i want to see him make more runs with the ball through the middle with precise finishing.
 
Wewe muache Arteta ajikute ameweka pamba masikioni juu ya Kai atamfukuzisha Kazi hataamini.

Huyo Kai Havertz ameshindwa kuimprove chini ya makocha watatu wa Chelsea Arteta anajikuta nani aweze kumbadilisha. Tatizo Arteta kinachomtesa ni ego anataka kuprove watu wrong na itamcost.

Muda utaongea Kai haendani na kasi ya EPL nitakukumbusha mbeleni.
 
Nataka nianze kuuza nyanya na ngege la mboga mboga humu, timu Haina makombe ya nini na mna kelele kama wanawake na wambea sana. Hivyo nachukua fursa hii to take this entrepreneur opportunity to launch my business here kwa wazee wa Ku overlap, playing style na striking force
 
Yaani ashindwe kutimuliwa kazi mpaka Sasa 7hag kwa mpira wa ovyo ,aje atimuliwe Mikel kwa kumpanga Kai ambaye mechi na manjesta mlishindwa hata kupiga pass 10 eneo la Midfield ya Arsenal likiongozwa na Kai-rice-ode

Yaan unawaza afukuzwe Mikel ,halafu tumlete Erik 7 hag?
 
Nataka nianze kuuza nyanya na ngege la mboga mboga humu, timu Haina makombe ya nini na mna kelele kama wanawake na wambea sana. Hivyo nachukua fursa hii to take this entrepreneur opportunity to launch my business here kwa wazee wa Ku overlap, playing style na striking force
Hizi hasira zote kasababisha Jesus

Tuliwaambia achen mdomo timu yenu haiwezi kustahimili msako wa nyani pale Emirates

Lisandro Martinez,Lindelof walikimbia mechi kwa msako wa nyani

Wewe muda wote mnapumuliwa tu hata mm Kama Lisandro Martinez ningekimbia mechi
20230903_230117.jpg
 
Shabiki la manjesta linakuja humu kumponda Kai

Wakati Midfield Yao ilishindwa hata kupiga pass 10 kwa Midfield ya KAI-RICE-ODE

Casemiro aliondoka na rating ya 5.8

Lisandro Martinez alikimbia mech akafeki injury awahi national team
20230904_064337.jpg
 
Xabi Alonso tactician coach mwingine ajaye kwenye tasnia ya football
 
Yan kuna uhusiano mkubwa sana wa viungo wa mpira kuwa best tactician coaches
Yeah sure. Na hasa wale viungo ambao hawakuwa mafundi sana kwenye timu zao.

Guardiola mwenyewe alikua kiungo enzi zake na alikiri hakua one of the best midfielders on his time.. alikuwa lazy uwanjani na mgumu kwenye kufanya maamuzi.

The same applies to Arteta na Xabi Alonso, hawakua na ufundi sana ila walikua na uwezo wa ku-execute.

Ndio hivyo hivyo kwa 'El Cholo' Diego Simeone.

One of the theories behind ni sawa na ile tuliyokua tukiambiana machuoni kwamba average students wana muda mzuri wa kufanya mambo mengine nje ya masomo kuliko straight-A students.
 
Mashabiki wa Arsenal hii Bajaji Unakatwa Nauli Nusu hata iwe Mbali kiasi gani.!?

Ipo Mjini Sijui ni ya Nani ila Nauli Ni Nusu humu me Nimeshuka Sasahivi.
20230911_113425.jpg
 
Back
Top Bottom