Arsenal (The Gunners) | Special Thread

SHABIKI wa Manchester United mjini Eldoret, nchini Kenya, Thomas Kiptanui Kemboi, maarufu Kapkeno amekimbizwa hospitalini baada ya kujaribu kula trei la mayai ya kuchemsha, baada ya kuwekeana dau (ku-bet) na marafiki zake ambao ni mashabiki wa Arsenal.

Kapkeno aliweka dau la kula trei nzima ya mayai ya kuchemsha iwapo Man United wangeshindwa na Arsenal, na waliposhindwa ilibidi atimize ahadi.
 


Ushabiki huu dah
 
| Kai Havertz on his difficult start at Arsenal:

“Sure, something like that keeps you busy. But I have often had a phase and then you often only see the negative. It's not the first club where I start again.

“Of course, you want to succeed as soon as possible, but I know that there are such phases. I'm trying to approach it relaxed.” [Sport 1] #afc
 
| Germany lineup with Kai Havertz up top ahead of the matches against Japan and France.


 

Tumpe mda Kai ila hapa alitukanwa kichizi na mashabiki katika kibanda umiza



 
Sure,pressure kubwa kutoka kwa fans inamfanya anakosa confidance akiwa uwanjani .

Goli likikua la wazi kabisa.
Fans wa Arsenal hatukuwa na tabia ya kuwapa presha wachezaji, tumeiga kwa manjesta na Chelsea, hasa manjesta

Tumewavumilia wachezaji mizigo wengi Sana, had waliposhindikana tukanyoosha mikono

Pepe mwenyewe bado had kesho Kuna fans wa Arsenal wanaamini anastahili kupewa muda au 2nd Chance
 
Huu utopolo unabamizwa leo tatu kavu. Nimerudia tena
Naona umehamia Newcastle

Ni aibu kufungwa na manjesta ambayo haiwez kupiga pass 10 kwa usahihi ,Ni aibu

Dk 100 Wana on target 2 , it's like Arsenal alikuwa anafanya mazoezi

Mpaka Sasa bado hatujaweka 3rd gear

Tunakusubiri wewe na Newcastle yako ,si umehama Chelsea
 
Hawezi kutoka Chelsea age below 28 ukae benchi arsenal.ARSENAL Droo inatosha Kwa utd
Kutoa draw na manjesta ni aibu ,timu ambayo dk 100 imepata Kona 3

Imepiga pass 70 tu kwenye final third ya Arsenal , compared na Arsenal pass 200+

Hao mtatoa nao draw nyie vilema wenzenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…