Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

◎ 10 games
◉ 7 goals
◉ 1 hat-trick
◉ 3 assists
◉ 2 player of the match awards

Bukayo Saka has been crowned England Men’s Player of the Year for the second successive season.

Our star boy. [emoji93]
20230906_004343.jpg
 
Spurs Ni timu yakwenda kucheza nayo kwa makini

Wanacheza mpira wa kisasa

Wamefanya maamuz magumu kufukuza Conte na mpira wake wa ujanjaujanja wamenunua GK mzuri kwenye footwork

Kwasasa game na Spurs yakwenda kwa Akili

Kweli mkuu ,naona msimu huu hawa jamaa wamekuja kivingine sana.

Vp kuhusu westham nao??.

Wako serius au ni upepo tu??
IMG_4724.png
 
Spurs Ni timu yakwenda kucheza nayo kwa makini

Wanacheza mpira wa kisasa

Wamefanya maamuz magumu kufukuza Conte na mpira wake wa ujanjaujanja wamenunua GK mzuri kwenye footwork

Kwasasa game na Spurs yakwenda kwa Akili
Yeah ni wazuri Sana aisee, ila huwa najiuliza hivi team kubwa hazimuoni huyu???
👉Maana ana balaa
FB_IMG_16937825385310906.jpg
 
West Ham.....watarudi kwny nafasi yao wanayostahili...ni suala la mda tu....Spurs hawa ni kuwapa mda tuone...
David Moyes sio wa kumchukulia POA, ana ufahamu mkubwa jinsi ligi inavyo kwenda.
👉Kumbuka kawa bingwa wa Europe conference league mzee.
👉Hata msimu uliopita kafeli kidogo Sana, Kutokana na kwamba Hana experience players
 
Kweli mkuu ,naona msimu huu hawa jamaa wamekuja kivingine sana.

Vp kuhusu westham nao??.

Wako serius au ni upepo tu??View attachment 2740516
Westham watarudi nafasi zao , wamesajili wachezaji wazuri wengi ,tatizo lao moja bado defensive minded team ,Wana wachezaji wakuamua matokeo Kama James Ward Prowse ,Kudus , n.k

Kwasasa naogopa Sana kukutana na Brighton
 
David Moyes sio wa kumchukulia POA, ana ufahamu mkubwa jinsi ligi inavyo kwenda.
[emoji117]Kumbuka kawa bingwa wa Europe conference league mzee.
[emoji117]Hata msimu uliopita kafeli kidogo Sana, Kutokana na kwamba Hana experience players
David Moyes bado Ni defensive minded coach , uchezaji wake Kama ten hag wanasubiri kukua kwa kaunta ,

Moyes safari hii ataokota Sana point sababu ana wachezaj wengi wazuri Kama James Ward Prowse , Kudus,
 
Westham watarudi nafasi zao , wamesajili wachezaji wazuri wengi ,tatizo lao moja bado defensive minded team ,Wana wachezaji wakuamua matokeo Kama James Ward Prowse ,Kudus , n.k

Kwasasa naogopa Sana kukutana na Brighton
Kuna Ile kauli alitoa Hadi Nika ona huyu Jamaa hatari.
👉Alisema you can acquire our big players with your big money, but you can't take the winning bless from us.
 
Kuna taarifa zinasema David Raya kwakiwango anachoonyesha mazoezini anakaribia kuanza kudaka Kama no.1

Binafsi nashawishika Rasmdale hatakiwi kuwa dropped ,kuja kwa Raya kaimarika Sana ,

Pili ,Kuna sauti inaniambia Raya atakuwa no.1 kwenye michuano ya UCL na Carabao

Ramsdale EPL & FA cup
Sema ramsdale kawa wa moto jamani, hii haitaleta mgongano 🤔
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom