makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,884
- 106,825
Nami nitaheshimu ya
Ubovu wa jesus ni upi? Ni dhambi kubwa kumuweka jesus kwenye kapu moja na kai,
Kingine jesus ni bonge moja la striker mzee, nakubali sio finisher mzuri, when it comes kuhusu boli mguuni, kuleta balaa ndani ya box, kuwafanya mabeki wa timu pinzani wasivute pumzi kwa amani basi jesus hana mpinzani..
Nami nitaheshimu maoni yako,Hamna mchezaji pale.
Juhudi bila akili (kipaji) ni mateso kwa mwili.
Jesus anavuja jasho sana uwanjani lakini output ni zero.
Goli la jana lisifanye tusahau ubovu wake .
Mchezaji mzuri (akili) ata jinsi anavyo piga pasi utaona tu huyu ni classic player.
Angalia movements na accuracy za saka, odegard, martineli , patey na zincheko Halafu angalia kwa Jesus na havertz ni tofauti sana.
Naheshimu maoni yako mkuu ila kwangu naona hivi.

️ 