Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Liverpool wapo mtegoni ,hii ofa ya pili ya wasaudia £200m wakiikataa noma, wakiikubali wajiandae ku struggle
 
Bukayo Saka:

"I love playing for Arsenal. I love playing at (Emirates) Stadium. Only the people that have put the shirt on and played in front of these fans will understand what it means."

Happy birthday Bukayo!
20230905_133800.jpg
 
Bado najiuliza why bado Ulimwengu wa soka unatembea na ujinga kuwa baryen ana makali kama zamani

Wanaoangalia Bundesliga watakuwa wanaelewa namaanisha Nini

20230905_133911.jpg
 
Ødegaard Ni talent halafu anauelewa mkubwa Sana tofaut na umri wake

Arteta alisema alimpa ukaptain sababu ukimpa maelekezo anayatekeleza kwa usahihi lakini ana uwezo pia wakuyafikisha kwa wengine

Ndio mchezaji ambaye anakuwa karibu Sana na kocha mazoezini kuliko wengine ,

Lakin kwa Zinchenko yule talent ya kuzaliwa ,ipo tu ,huwa sichoki kumuangalia ,atapiga pass kwenye mazingira yoyote Yale ,ana invert holding, winger , attacking midfielder ,

Mwisho binafsi Zinny anabaki most talented player kwenye timu ya Arsenal , wapo wengi Kama Fabio Vieira, Øde, Smith Rowe ,but Zinny hata mazoezini mpira huwa unamtii
Ukitaka kumuogopa Zinny Nenda Youtube katafuta Clip za Game ya Arsenal vs Nyukesto last season ile ya 0-0 Emirates zinazomuhusu Zinny ndo utajua jamaa anapiga pasi kwa kutumia Uchawi, sio kawaida kabisa uyo kiumbe.
 
Wachezaj wa Newcastle walisema walikuwa hawaelewi anachowafanya

Kuna ile mech na manjesta Emirates,alikuwa anapiga pass za kutosha ,ilifika muda wakawa wanataka sare maana wamechoka na Moto wanaletewa

Huwa anakuja katikati atapiga pass angle zote ,atasogea no.10 atapiga pass kila muda ,Timu huwaga inachangamka Sana

Akiwepo huwa nafurahi Sana
 
Sasa na mimi najiona kama arteta kwa kai.. [emoji1787]
Sio siri mimi namuamini saana jesus, hata akicheza kawaida naamini si wa kukaa benchi.
Jesus mara chache San kukupa game mbovu, sikumbuki lini, Jesus wengi wanataka awe Kama halland ,Jesus asipokupa magoli ,atakusaidia kuwa kiungo ,winga , atafanya kuunganisha Timu, sikumbuki lini alikuwa na game mbovu
 
Sijui kwa nini watu wanamuonaga JESUS ni mchezaji wa kawaida ? kwangu kati ya wachezaji watano muhimu wa arsenal mwaka jana Jesus yupo.wakati tunamtaka madrid nao walikuwa wanamtaka.kama unaangalia mpira vizuri hakuna beki anayeweza kumkaba Jesus.ni foward pekee anayeweza kupangua beki wza timu pinzani wanaokaba kwa kurundikana.kati ya wachezaji tuliopata kwa bei rahisi ni Jesus,tuombee asiumie hizo goal ishirini anafikisha,ninachofurahi amesaidia sana kuinua kiwango cha nketiah.na kwa sasa kitu kizuri kuhusu timu yetu benchi letu lote linaweza kuathiri mchezo yoyote akiingia uwanjani
 
Anachofanya jesus, si halaand wala osimhen wanaweza fanya..

Kitu pekee kwa jesus ni magoli machache tu, hii kwangu huwa naifuka kwa aina yake ya uchezaji.
 
Sijui kwa nini watu wanamuonaga JESUS ni mchezaji wa kawaida ? kwangu kati ya wachezaji watano muhimu wa arsenal mwaka jana Jesus yupo.wakati tunamtaka madrid nao walikuwa wanamtaka.kama unaangalia mpira vizuri hakuna beki anayeweza kumkaba Jesus.ni foward pekee anayeweza kupangua beki wza timu pinzani wanaokaba kwa kurundikana.kati ya wachezaji tuliopata kwa bei rahisi ni Jesus,tuombee asiumie hizo goal ishirini anafikisha,ninachofurahi amesaidia sana kuinua kiwango cha nketiah.na kwa sasa kitu kizuri kuhusu timu yetu benchi letu lote linaweza kuathiri mchezo yoyote akiingia uwanjani
Eddie ameongea leo

[emoji2788]Eddie Nketiah on Gabriel Jesus -

"He is a fantastic player and a great guy off the pitch. We get on really well. It's nice to be competing with someone of that standard."

"It's only going to do things for me and we both know we want to do the same thing, which is help the team, contribute and score goals. Naturally we push each other in training, we push each other in games."

"It's healthy and friendly competition. We know that sometimes we're going to play together, sometimes I might play, sometimes he might play. We have that good relationship where we always support each other. We all want the same thing which is to help Arsenal. I'm sure hopefully it will be a great season for both of us."

(@ESPNUK )

espn.in/football/story…
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom