hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Nina vyanzo nyeti ,Partey injuryMkuu unapataje kikosi mapema yote hii
Partey Yuko wapi?
kwa manjesta ,nasikia martial kaumia
So lineup Yao ataanza yule bwege aliyefunga Goli 9 mechi 32
Nina vyanzo nyeti ,Partey injuryMkuu unapataje kikosi mapema yote hii
Partey Yuko wapi?
Na atakapowatia goli leo ufuruhie hivo hivoNimefurahi kuona kiungo la boli Kai Havertz linaanza
eti NYETINina vyanzo nyeti ,Partey injury
kwa manjesta ,nasikia martial kaumia
So lineup Yao ataanza yule bwege aliyefunga Goli 9 mechi 32
una vituko dogo, mwanzoni ulimuweka Jesus,sasa umemtoa Jesus na kumuweka Nketiah
nilikoseaeti NYETIuna vituko dogo, mwanzoni ulimuweka Jesus,sasa umemtoa Jesus na kumuweka Nketiah
![]()
Acha kubisha,line up yako ya kwanza hapo juu ulimuweka Jesusnilikosea
Lineup ya leo Eddie must start
Hayupo Jesus hapo??Breaking Arsenal line up vs United #COYG #AFC
Ramsdale
White
Gabriel
Saliba
Zinchenko
Rice
Havertz
Odegaard
Saka
Nketiah
Martinelli
Partey anatuvua nguoNina vyanzo nyeti ,Partey injury
kwa manjesta ,nasikia martial kaumia
So lineup Yao ataanza yule bwege aliyefunga Goli 9 mechi 32
Si nimekwambia nimekoseaAcha kubisha,line up yako ya kwanza hapo juu ulimuweka Jesus
Hapo ulimuweka JesusHayupo Jesus hapo??
Kama umekosea sema sio KUKATAA kwamba hukumuweka,simpleSi nimekwambia nimekosea
Halafu official lineup bado dk 5
Yaan mnataka upinzani kwa vitu vya kijingakijinga
Huyu wakumuuza ,naanza kukubaliana na WillyPartey anatuvua nguo
Mbona kama una Jambo lako moyoni kuhusu mimi aiseeKama umekosea sema sio KUKATAA kwamba hukumuweka,simple
Ngoja tuone usije kukimbia jukwaa na kuwaachia wenzako msala.
Dalot LB
Ericksen LCM
Hawa jamaa leo nikuwakanda kisawasawa
#mufc XI vs Arsenal: Onana, Wan-Bissaka, Lindelöf, Martínez, Dalot, Casemiro, Eriksen, Antony, Bruno, Rashford, Martial
Subs: Bayındır, Reguilón, Maguire, Evans, Gore, Hannibal, Garnacho, Højlund