Aaron Arsenal ni huyu huyu jamaa ndiyo maana sometimes anaandika vitu alivyowahi kuniandikia akiwa anatumia id ya Aaron Arsenal.Soma vizuri uliponiquote.
Sijasema ulipinga usajili wa Partey. Nimesema MIMI NILIIITA USAJILI WA PARTEY NI PANIC BUY.
Sasa nielewe hapa. Jesus sijasema hafai nimesema price yake na mshahara ni vikubwa. Tammy ndiye nimesema hafai, yeye na Lewin wote hawafai.
Hii Arsenal inahitaji sajili nne ambazo wewe unaona mbili zinatosha. Nne kwakua tunahitaji ST 2, tunahitaji kiungo na Winger ambao hao wote watahesabiwa kama big signings.kisha wasajiliwe back up.
Ukisema big signings 1 au 2 means utasajili ST (Jesus) kisha huku unasajili mchezaji wa level ya Lokonga kuja kuchukua uzoefu. Itakua same cycle
Anyway hii ni 2022 hapo ni baada ya Arsenal kumlenga Aouar na DM dili la Aouar kukawa na upigaji mwisho likafa Arsenal kututuliza fans ikalipa release clause ya Partey.