hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
UCL Hakuna timu yakutusumbua , mpinzani halis Ni mancity wengine unga unga mwanaUefa hio Pot 2 waliyowekwa ni ya moto hatari, tusubiri mpaka saa 4 usiku watakua wameshapanga makundi tayari.
Nina imani Asenyo atapangwa kundi moja na Madrid halafu wakimuongeza Inter kwenye kundi lao ndio rasmi itakua safari yao ya mwisho kwenye Uefa.
Lini utakaa na kuelewa
Barca tulimfungia Gia no.1 akalalamika Sana
Matchday 1: 19/20 September 2023


GROUP B



Copenhagen
Galatasaray