Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger orphans wakiona Kama hivi mapain yanaingia Mpaka kwenye nafasi

Hafu wakicheki arteta ni mkongwe hapo EPL mwenzie msimu wa kwanza tu.
1693491323290.jpg
 
Wenger orphans wakiona Kama hivi mapain yanaingia Mpaka kwenye nafasi

Hafu wakicheki arteta ni mkongwe hapo EPL mwenzie msimu wa kwanza tu.View attachment 2734628
Arteta ametumia £400m kuunda timu shindani na kikos ghali duniani chenye thaman ya £1.2B

ERIK 7hag ametumia £400m kuunda timu haiwezi kupiga pass 10 kwa usahihi

Erik 7 hag kiumri ni zaidi ya Pep

Yaani mnafurahia kutumia £250m kushinda Carabao
 
Masingeli acha kuwapa false hope makondoo yako ya humu, hio pot2 Arsenyau pamoja na Nyumbu wanafungasha virago vyao mapema kabisa.
Hapa wa kupewa pole nyingi ni Arsenyo maana ameikosa hii michuano kwa miaka 7 mtawaliwa na baada ya kufungasha virago vyake kwenye hatua ya makundi anaenda kuyakosa tena haya mashindano kwa miaka 7 tena mingine inayofata.
View attachment 2734625
Wenye mpira wao wanasema Arsenal anapewa nafasi ya 4 kubeba , yaani anaweza kufika nusu au fainal kabisa

Sasa jiulize manjesta ambao mna Eriki Seven hag mbona wanawaona Kama wasindikizaji

Hujiuliz Why Arsenal hajacheza muda mrefu lakin yupo Pot 2

Ulishajiuliza Hilo swali
 
Top scorer wa muda wote kwa timu ya taifa ya England U21.

Kwa mara ya kwanza ameitwa senior team. Ili wiki ikamilike vizuri siku ya jumapili afanye jambo.
20230831_161907.jpg
 
Wenye mpira wao wanasema Arsenal anapewa nafasi ya 4 kubeba , yaani anaweza kufika nusu au fainal kabisa

Sasa jiulize manjesta ambao mna Eriki Seven hag mbona wanawaona Kama wasindikizaji

Hujiuliz Why Arsenal hajacheza muda mrefu lakin yupo Pot 2

Ulishajiuliza Hilo swali
Daaahhh Masingeli kwa kupenda kwako kujitoa ufahamu ndio unasababisha timu ikiboronga wenzio wanakujia juu humu.
Haohao wenye mpira wao ndio walisema Arsenyo msimu ulioisha atachukua Epl, haya tuonyeshe hilo kombe la Epl ambalo wenye mpira wao walisema mtachukua?
 
Mimi naweka kumbukumbu sawa

90% ukiwepo wewe mlisema hatuingii top 6

Lakin kushinda no.2 mkadai tumefeli

Hamuoni nyie Ni wanafiki na matapeli ?

Nilisema tutapigania Ubingwa EPL na alikuwa hivo

Msimu huu tutapigania Ubingwa EPL na UCL

Na kile kikombe ambacho 7hag amejifichia tutakitolea macho ili akose kichaka
20230831_173604.jpg
 
| Eddie Nketiah:

"Siku zote mimi hujaribu kufanya mazoezi kama mnyama na kujitolea kila wakati iwe ninacheza au la.

Hiyo ndiyo mentality niliyo nayo. Ninafanya mazoezi kwa nguvu kwa sababu nadhani ukifanya mazoezi vizuri mara nyingi huakisi kwenye mechi.

Ndivyo ninavyotazama soka na maisha. "Inabidi ujaribu kubadilisha hali yako kwa kufanya kazi kwa bidii na kuonyesha ubora wako.

Hiyo ndiyo mentality niliyonayo na nimekua nayo siku zote, nilipokuwa nakua ....
20230831_161349.jpg
 
Flano na Genge lake wanajiuliza mbona hawajacheza miaka 7 Lakini wanapewa nafasi kuliko manjesta ya tapeli 7hag

Mbona wamewekwa Pot 2

20230831_175142.jpg
 
Mimi naweka kumbukumbu sawa

90% ukiwepo wewe mlisema hatuingii top 6

Lakin kushinda no.2 mkadai tumefeli

Hamuoni nyie Ni wanafiki na matapeli ?

Nilisema tutapigania Ubingwa EPL na alikuwa hivo

Msimu huu tutapigania Ubingwa EPL na UCL

Na kile kikombe ambacho 7hag amejifichia tutakitolea macho ili akose kichaka View attachment 2734655
wewe kila siku hoja yako ni hiohio tu mlisema hatuingii top 6.
Wewe wenyewe ulisema Man Utd haingii top 4 kwa pila lake la papatupapatu vipi hatukuingia?
Vipi mechi ya jumapili kauli mbiu yako itakua ni ileile ya "mkitufunga ni sawa na kunguru kumnyea binadamu anajifuta safari inaendelea" au umekuja na kauli mbiu mpya?
 
Eddie’s mentality is elite. Every time he’s doubted, he comes back stronger. Never complains. He deserves his flowers.
20230831_140057.jpg
 
wewe kila siku hoja yako ni hiohio tu mlisema hatuingii top 6.
Wewe wenyewe ulisema Man Utd haingii top 4 kwa pila lake la papatupapatu vipi hatukuingia?
Vipi mechi ya jumapili kauli mbiu yako itakua ni ileile ya "mkitufunga ni sawa na kunguru kumnyea binadamu anajifuta safari inaendelea" au umekuja na kauli mbiu mpya?
Mbona ipo Waz kuingia top 4 mlipigania had mechi 2 za mwisho sababu ya upuuzi wa Newcastle ,

Kihalisia hamkustahili kuingia Top 4

Ndio Maana mliposema nyie Ni title Contender niliwaambia Hakuna title Contender wa Pira makande , kufika February ,7hag akatupa taulo

Mech ya Jumapili sio Pre season

Tutawapiga Kama Ngoma

Kama Kuna watu wanaogopa kuwaambia ukweli ,Mimi nitawaambia ,Mimi ni Jeshi

Manjesta tukiwafunga 3-0 ,tutakuwa na huzuni

Mtapigwa msako Hadi mseme Bei halisi ya tapeli Anthony masebene
 
Arsenal tumechoka maneno sasa tunataka kombe either EPL au UCL.... winners celebrate, losers explain, nyie no losers yaani hamis77 Unaongea kama losers na msimu ukiisha huna kombe, nyie ni timu ya maneno mko top kwa mdomo.... last season ETH ndio kaingia united na match 2 za kwanza alifungwa lkn alipambana timu ikashika nafasi ya tatu nyuma yako wewe mdomo mdomo fc, bora utulie ETH ana profile kubwa kuliko huyo baba yenu arteta na atafanikiwa kabla ya hyo arteta wenu....uzuri ETH alipofika alisema wapinzani wake wakubwa ni liverpool na man city, yeye hawafikirii timu za vipind km arsenal.
Liverpool tayari tumemzidi mafanikio season ya kwanza, saiv mdg mdg tunamfata man city huko huko juu, hizo style of playing au talent ID mtabaki nazo nyie mdomo mdomo fc sisi ni possession na makombe km Atletico Madrid au madrid yenyew.
Bila kombe ni upumbavu tu this season kipaumbele ni EPL no excuse ya kusema kuwa target yetu ilikuwa ni TOP 4 na Champions league angalau quarter final sio haba!
 
Bodi ya Uefa kuwaweka Arsenyau Pot2 malengo ni kuwarudisha mapema mkacheze futuhi, hio wala haihitaji rocket science kuelewa ndugu yangu Masingeli.
Kwa kocha wenu yule nawaona mkiishia makundi

Wengi wanawaonea aibu kuwaambia ukweli

Mimi nitawaambia hata mnichukie,mm ni Jeshi

7hag Hakuna kocha na Jumapili tutawapiga msako had aseme alimnunua Anthony masebene kwa Bei gani
 
Bila kombe ni upumbavu tu this season kipaumbele ni EPL no excuse ya kusema kuwa target yetu ilikuwa ni TOP 4 na Champions league angalau quarter final sio haba!
Arsenal msimu huu anaenda kupigania ubingwa EPL na UCL

Na lile Carabao energy drink cup tutalitolea macho

Bado sijaona timu ya kutusumbua UCL Zaid ya Mancity
 
charles_watts:

"Sitakaa hapa sasa hivi na kusema hakuna nafasi Arsenal itasajili mtu yeyote."

"Kumekuwa na nyakati nyingi, hata wakati [Takehiro] Tomiyasu aliposaini, siku hiyo hakuna kitu kilichotarajiwa na kisha ghafla, Tomiyasu alisaini siku ya mwisho ya dirisha."

"Ninarudi wakati Thomas Partey aliposaini, niliingia katika siku hiyo ya mwisho nikifikiri Arsenal haitafanya chochote, huo ndio ujumbe tuliokuwa tukipata(kutoka ndani ya Arsenal), kisha wakaenda na kumsajili Thomas Partey."

"Huwezi kamwe kukataa na ikiwa nafasi nzuri itatokea, ambayo Arsenal itaangalia na kufikiria kwamba inatupa kifaa kizuri kwa msimu, basi wanaweza kufanya hivyo."

(YT via tbr)
 
England Core

Aaron Ramsdale,

Bukayo Saka

Declan Rice,

Eddie Nketiah has also been included in the England squad for the first time.

Congratulations, @EddieNketiah9!
 
Back
Top Bottom