Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Eddie anapaswa kuanza Jumapili, amekuwa vizuri wakati Jesus hayupo, kwenye game zote tatu kahusika kutupa points.

Kutokumuanzisha = Nakuua form na confidence yake.

Jesus apambane.
20230831_140057.jpg
 
Vilikuwepo vikosi bora kushinda hicho ambacho unajitamba nacho lakini hakikubena kikombe chochote cha bara la ulaya
Mbona Kama malalamiko ,tatizo Nini ?

Yaani unataka niponde ndio ufurahi


Wengine hatujazoea kulalamika ,


Nakushauri nenda polisi peleka malalamiko
 
| Mikel Arteta will speak to the media ahead of Nyumbuzi on Friday at 13:30.
 
Nketiah vs Jesus - Stats per 90 since start of last PL season.

Nketiah produces fewer assists and completed final-third passes per 90 minutes than both Jesus and Trossard, therefore offering less in the construction of moves and the creation of chances for his team-mates.

(@SkySportsPL )

skysports.com/football/news/…
20230831_143741.jpg
20230831_140057.jpg
 
Big Chances missed per 90 since start of last PL season

(@SkySportsPL )

skysports.com/football/news/…
20230831_144105.jpg
 
Arsenal need Bayern, Barcelona, and Napoli if and if it was only possible to proof the doubters and haters wrong and send the clear shock waves that this is the different and the new look Arsenal fc

Picha haina uhusihano wowote
20230830_223840.jpg
 
Gabriel Martinelli on Instagram:

“The Champions League music at Emirates… I’m ready 🤌”
20230831_144618.jpg
 
Bukayo Saka at the age of 21:

Arsenal Player of the Season
England Player of the Year
PFA Young Player of the Year
x1 FA Cup
x2 Community Shield
️ 120 Goals and Assists

The best talent Right winger in the world

Ukibisha njoo na fact
20230831_145526.jpg
 
#Arsenal legend David Seaman does not want ESR to leave this summer:


‘That would hurt for me, because him and Saka, they’re one of our own and all of that sort of stuff.

‘And that’s why, for me, even when Mount went to Man United, I felt like that was like, ‘Woah, that’s a big part of your team that’s gone’ – and I think that would be the same for Smith Rowe at Arsenal.

‘I would be very surprised if he went to Chelsea, really surprised. I don’t want it to happen, if I’m honest.’
20230831_145850.jpg
 
Nketiah called up for England

Mikel develop this kid despite makelele mengi ya wasiojua mpira

Kama Hojlund Goli 9 ameuzwa €85m

Basi Eddie Ni €120m hutaki kasajili kina Anthony masebene
20230831_161349.jpg
 
“Eddie [Nketiah] - It’s an area that we would like to have a look at him. He’s a young player with really good pedigree. Very good finisher and it’s good for him to have some time with us. He’s the record scorer with the 21s.”

Gareth Southgate on calling up Eddie Nketiah.
20230831_140057.jpg
 
Tueleze wewe mwenye uelewa mkubwa

Najua umeumia Sana ,


Ohoo Arsenal hajacheza miaka 7 UCL

Haya karudi yupo Pot 2 na anapewa nafas ya kufika fainal au nusu fainal


How about nyumbuzi?
Masingeli acha kuwapa false hope makondoo yako ya humu, hio pot2 Arsenyau pamoja na Nyumbu wanafungasha virago vyao mapema kabisa.
Hapa wa kupewa pole nyingi ni Arsenyo maana ameikosa hii michuano kwa miaka 7 mtawaliwa na baada ya kufungasha virago vyake kwenye hatua ya makundi anaenda kuyakosa tena haya mashindano kwa miaka 7 tena mingine inayofata.
1693489862536.jpg
 
Back
Top Bottom