Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kumbuka pia hatukuwa na Depth kubwa ,still bado tuliongoza kundi ,

Sevilla is currently last in La Liga, while Lens is 15th in Ligue 1.
Liverpool alibeba champions league trophy akiwa nje ya top 4 2005 !kila team katika league haijafika kwa bahati mbaya kikubwa Arsenal ibebe 9 points Emirates that's it
 
Liverpool alibeba champions league trophy akiwa nje ya top 4 2005 !kila team katika league haijafika kwa bahati mbaya kikubwa Arsenal ibebe 9 points Emirates that's it
Unazungumzia 2005 duh, halafu Liverpool alikuwa vzr kipind kile alikuwa katoka kukimbizana na Arsenal kwenye EPL 2001/2002

Hatupepes macho , Hapo tunakusanya points 15-18

Hakuna wakumzuia Arsenal hapo ,

Ndio Maana huwa nasema UCL mpinzani Ni city ,sijui huwa mnaziba masikio
 
Wana gunners UEFA tukutane final

Asante

Au sio kufikia robo fainali ilikua 2009 huko , nyie mnaishia round 16 kama kawaida . Mko pale kusikiliza wimbo wa uefa then mrudiii epl kuitafuta top 4.

Endeleeni kujifariji naona mnajipa matumaini timu ya kuwasumbua ni city kisa tu kina Madrid na bayern walichezea vichapo vikubwa basi mnajiona mpo level moja na city , Arteta kutokea city kusiwadanganye nyie false hopers. Sporting iliwashinda mkaishia quarter now mnawaza final
 
Unazungumzia 2005 duh, halafu Liverpool alikuwa vzr kipind kile alikuwa katoka kukimbizana na Arsenal kwenye EPL 2001/2002

Hatupepes macho , Hapo tunakusanya points 15-18

Hakuna wakumzuia Arsenal hapo ,

Ndio Maana huwa nasema UCL mpinzani Ni city ,sijui huwa mnaziba masikio
Usidharau timu nyingine hakuna timu inaingia uwanjani kudhurura. Mpira ungekuwa rahisi kama unavyodhani basi tungechukua Europa last season.

Umesahahu Sporting lisbon walivyotufanyia.
 
Au sio kufikia robo fainali ilikua 2009 huko , nyie mnaishia round 16 kama kawaida . Mko pale kusikiliza wimbo wa uefa then mrudiii epl kuitafuta top 4.

Endeleeni kujifariji naona mnajipa matumaini timu ya kuwasumbua ni city kisa tu kina Madrid na bayern walichezea vichapo vikubwa basi mnajiona mpo level moja na city , Arteta kutokea city kusiwadanganye nyie false hopers. Sporting iliwashinda mkaishia quarter now mnawaza final
Sawa kiongozi
 
Ww utaongoza group na hiko kikundi chako cha mdundiko🤠🤠🤠...mkipita kwny hlo group itakuwa ni ajabu la nane la Dunia🤠🤠🤠
 
Usidharau timu nyingine hakuna timu inaingia uwanjani kudhurura. Mpira ungekuwa rahisi kama unavyodhani basi tungechukua Europa last season.

Umesahahu Sporting lisbon walivyotufanyia.
Arsenal ya mwaka Jana sio hii

Yaan unataka kusema hili kundi Ni gumu kwa Arsenal

Kuna mashabiki yaani muda wote mnawaza Negative tu ,ndio maana mnakonda

Sasa kiuhalisia hapo Kuna timu gani yakuisumbua Arsenal ambayo imejiandaa kushindana

Umepewa viande bado unasema wagumu

Ulitaka upewe Nan uridhike

Mbona mnapenda kujikondesha bure
 
Edu -

"Tuliweka mkakati mmoja madhubuti wa kuwa makini mwanzoni mwa dirisha," alisema.

"Nadhani tulifanya hivyo. Sasa tunazungumza juu ya kujaribu kusawazisha kikosi vizuri zaidi. Tunaendelea kuzungumza na vilabu vichache.

Hadi sasa tunafurahishwa na dirisha la uhamisho na tunapaswa kusema asante kwa kila mtu ambaye amefanya kazi. katika klabu kufanya hilo lifanyike. Kwa hivyo, vizuri.

Msimu wa kusisimua uko mbele yetu."
 
Arsenal tumepewa timu za Uropa huko Champions league ,Lakini waliozoea kulalamika hawakosekani ,

Kizaz Cha malalamiko kilimsumbua Sana Nabii Musa kule jangwani ...

itoshe kusema tumetinga ndani ya Round of 16.
 
Ww utaongoza group na hiko kikundi chako cha mdundiko...mkipita kwny hlo group itakuwa ni ajabu la nane la Dunia

Subiri uone hilo ajabu la dunia sasa. Wewe ungekuwa kwenye hilo group mawazo ya nafasi yako pendwa round 16 usingeiwaza kabisa. Sisi kufika quater final ni mafanikio tosha sababu its first season , wewe una miaka 7 mfululizo unacheza still unaishia nafasi ile ile toka 2010/2011 mpaka 2015/2016 unaishia 16
 
Wacha tukuambie ukweli mkuu...hutapata point yyte ugenini kwny hzo timu...kamwe hutapata point yyte... Kiufupi tu biashara yako ishaishia hapa kama nilivyokuambia kwmba ww bdo ni level za Brentford basi ni hvihvi hata huku UEFA ww ni level za kina RC Lens....bdo watoto wadogo sana nyny🤠🤠🤠...na mwaka huu ndo mwanzo na mwsho kumaliza top 4....In short biashara yenu ishaishia hapa...mkacheze mdundiko na kina Sheffield United huko 🤠🤠🤠...
 
Liverpool -6 UCL trophies
Man united -3 UCl trophies
Chelsea -2 UCL trophies
Nottingham forest -2 UCL trophies
Aston villa - 1 UCL trophy

London poultry farmers (Asenoo ) wekeni UCL yenu kwa meza ndio tuanze kuongea

Poor Wenger orphans
20220905_100738.jpg
 
Wacha tukuambie ukweli mkuu...hutapata point yyte ugenini kwny hzo timu...kamwe hutapata point yyte... Kiufupi tu biashara yako ishaishia hapa kama nilivyokuambia kwmba ww bdo ni level za Brentford basi ni hvihvi hata huku UEFA ww ni level za kina RC Lens....bdo watoto wadogo sana nyny...na mwaka huu ndo mwanzo na mwsho kumaliza top 4....In short biashara yenu ishaishia hapa...mkacheze mdundiko na kina Sheffield United huko ...

Wewe uefa upo level za team gani? Nijibu tu team 2 ambazo upo level moja nao UEFA nipe na vigezo 2 tu.

Top 4 tupo pale kwa miaka 20 ijayo with EPL trophies na sio kama nyinyi 0 trophies kwa 20 years.
 
Back
Top Bottom