Arsenal tumepewa timu za Uropa huko Champions league ,Lakini waliozoea kulalamika hawakosekani ,
Kizaz Cha malalamiko kilimsumbua Sana Nabii Musa kule jangwani ...
itoshe kusema tumetinga ndani ya Round of 16.
Kaangalie stats za probability walopewa nafasi ya kufika mbali kwny michuano hii kwa Sasa halafu ndo tuongee vzuri...tumia smartphone yako vzuri mkuu🤠🤠🤠....mmeanza na mechi ngumu sana Ligi kuu sitaki kuwa judge ila kuanzia Sasa kwenda mbele tuone huo mpira wenu wa kukimbiza upepo🤠🤠🤠...nyny bdo watoto wadogo sana....EPL huwezi kubeba na kile kikundi chako cha amapiano🤠🤠🤠....kwmba Almiron na Gordon wakupe kombe sio....ww bhana level zako ni zilezile tu... Brentford huko...kina Sheffield na wenzie Wolves....hao ndo masela wako Sasa....bdo hujafika level za kukaa na kuzungumza na wakubwa....narudia bado sanaWewe uefa upo level za team gani? Nijibu tu team 2 ambazo upo level moja nao UEFA nipe na vigezo 2 tu.
Top 4 tupo pale kwa miaka 20 ijayo with EPL trophies na sio kama nyinyi 0 trophies kwa 20 years.
Halafu umesema nna 0 trophies ligi kuu for 20 yrs🤠🤠....ww una mangapi mkuu toka mpira uanze kuchezwa pale Uingereza....achana na kipindi cha miaka 20 ilopiga🤠🤠🤠....Kaangalie stats za probability walopewa nafasi ya kufika mbali kwny michuano hii kwa Sasa halafu ndo tuongee vzuri...tumia smartphone yako vzuri mkuu🤠🤠🤠....mmeanza na mechi ngumu sana Ligi kuu sitaki kuwa judge ila kuanzia Sasa kwenda mbele tuone huo mpira wenu wa kukimbiza upepo🤠🤠🤠...nyny bdo watoto wadogo sana....EPL huwezi kubeba na kile kikundi chako cha amapiano🤠🤠🤠....kwmba Almiron na Gordon wakupe kombe sio....ww bhana level zako ni zilezile tu... Brentford huko...kina Sheffield na wenzie Wolves....hao ndo masela wako Sasa....bdo hujafika level za kukaa na kuzungumza na wakubwa....narudia bado sana
Mechi ngumu kwa arsenal ni Sevilla tena away🤠🤠🤠....Hawa PSV kipindi kile tumeenda kucheza nao tulikuwa tume relax maana tulikuwa tumesha qualify wao ndo wakawa wanakaza miguu🤠🤠🤠...tusipoongoza hili kundi maswali yte niulizwe mmMtarambwa mbaya.View attachment 2735306



dadamlamayao hua nakukubali sana pale unapoamua kusimamia ukweli wa mambo, ila kua makini tu humu kuna watu wamejimilikisha hii timu utafikiri wao ndio wana hati miliki ya Arsenal, sasa hivi wataanza kukuita mamluki shauri yako.Yeah we back where we belongThank you Mikel Arteta for bringing us back to where we belong

dirisha la usajili limefungwa?!


hili group ni la Europa teams halafu false hopers wanafurahia kinoma mentality za europa na viunga vyake conference league huko.Timu zote zilizopo hili group zimecheza europa last season
.Golini kuna pazia
Bisaka ndo wakumzuia Martinelli? Kisha dakika ya 60 anainuliwa Trossard, nyumbu zimeyakanyagaView attachment 2735344



Hakuna mechi ngumu mkuuMechi ngumu kwa arsenal ni Sevilla tena away....Hawa PSV kipindi kile tumeenda kucheza nao tulikuwa tume relax maana tulikuwa tumesha qualify wao ndo wakawa wanakaza miguu
...tusipoongoza hili kundi maswali yte niulizwe mm
Halafu umesema nna 0 trophies ligi kuu for 20 yrs....ww una mangapi mkuu toka mpira uanze kuchezwa pale Uingereza....achana na kipindi cha miaka 20 ilopiga
....

TRANSFER -