Kwasasa Mimi makocha wangu ninaowakubali ni watatu tuMikel is genius, anaunda chama la kusumbuana na Man City kwa muda mrefu, Pep is genius too, binafsi ukimuondoa Mikel labda kama utamleta RDZ kwa mbali naweza kukufikiria but not otherwise.
chama la kufanya majaribio ya kifala kwenye Ligi??ni MPUUZI kama WAPUUZI wengine tuMikel is genius, anaunda chama la kusumbuana na Man City kwa muda mrefu, Pep is genius too, binafsi ukimuondoa Mikel labda kama utamleta RDZ kwa mbali naweza kukufikiria but not otherwise.
Wenzio wengi washapita na unjuka kama huu afu wameishia kusikojulikana, toka kina milango mitatu paka wale wa Newcastle, kwa mazingira yako mi nakuona form one tu badili mfumo babu haulipi huo.chama la kufanya majaribio ya kifala kwenye Ligi??ni MPUUZI kama WAPUUZI wengine tu
Mbona hatuuzi naona loan moves tuArsenal want to sign a new defensive option before Friday’s deadline.
Ideally a player who can cover multiple position, similar to Timber.
Outgoings remain the priority, but more incomings is on the agenda.

First eleven ipiWazoee ,hawa hawa walikuwa wanasema Fabio Vieira hafai ,na bla blaa kibao
Kwasasa huwezi waona wakitoa credit ,jinsi kipaji Cha huyu jamaa kilivyo, na kwa uwezo wa huyu jamaa soon ataanza kuwa first eleven
Arsenal ilikuwa ishatumbukia shimon ,Leo makocha wamekuwa wengi wanataka mfumo fulan ,View attachment 2732856


Partey sio namba 6, hajawahi kuwa namba 6, ni kiburi cha Mikel tu kuforce vitu visivyowezekana but i thank God Arteta karudi kwenye basics, Guardiola hawezi mchezesha Partey namba 6 kamwe, Arsenal tutachukua EPL / UCL huku Declan Rice akiwa namba sita afu nitakukumbusha hizi comment zako.




last time kushinda EPL /UCL ni lini ? Hizi false hope ila arsenal fans mna imani nzito sana na timu yenu. Declan kucheza namba 6 hilo tutalikumbuka lakini arsenal kuchukua EPL/UEFA hilo haliwezi kutokea kamwe!Fatlia vzr
Let's wait ,Kuna wenzio waliwahi kusema Øde hafai
Wamebaki kutafuta mbuz wa kafaraWenzio wengi washapita na unjuka kama huu afu wameishia kusikojulikana, toka kina milango mitatu paka wale wa Newcastle, kwa mazingira yako mi nakuona form one tu badili mfumo babu haulipi huo.
Kwa miaka 5o ijayo Ushindi wa nyumbu pale Emirates itakua kupata sare tuLast five meetings at the Emirates:
Arsenal 3-2 United
Arsenal 3-1 United
Arsenal 0-0 United
Arsenal 2-0 United
Arsenal 2-0 United
Ila Kenge Wana biashara kichaa kinomaChelsea loaning Cucurella a year after signing him for £62m
But the media and some toxic fans wants to talk about Havertz after 3 PL games, which he won 2 and drew 1![]()


Kwamba tunapangiana cha kuongea??You better shut ya mouth bruv! kabla ya Mikel ulikuwa huna hata ndoto za kuwaza big trophies. Sasa hiyo jeuri unaitoa wapi mzee au kuna kitu kichwani hakijakaa sawa?




Mkuu, wadau wameanza kuzishabikia Arsenal, Manchester United, Chelsea na Liverpool before JF haijaanzishwa.Wanachekesha Sana hawa jamaa
Kabla ya mikel hata Ndoto tu za kugombea top 4 hazikuwepo ,leo wanajifanya wajuaji wa kumpangia had Nan acheze nan asicheze
Kipind yupo Emery hawakuwepo humu waliikimbia timu
Sasa hivi Mikel kaaminiwa na anapewa pesa ,wao ndio wajuaji Sasa
Hivi wanadhan Stan anatoa pesa tu, ni sababu amemuamin Mikel
Basi muwe mnakaa kimya msiwapangie watu kwakuibuka Sasa na kuleta makasirikioMkuu, wadau wameanza kuzishabikia Arsenal, Manchester United, Chelsea na Liverpool before JF haijaanzishwa.
Mapenzi ya timu hayapimwi kwa kuwa active JF.
Arteta amepewa muda + hela. Its time to deliver. Hata Chelsea walimpa full support GP, lakini walivyoona hamna muelekeo, wakamla kichwa.
Ampange Kai kama centre back, Saka as DM, but end of season, tunataka tuone trophies.