Hujui kitu bruv.
Mashabiki wa Arsenal kwa % kubwa tuliamini na tulijua timu yetu ya msimu uliopita inakamata top four. A trophy would have been a bonus ila sisi tulijua top four ni rahisi.
Hatukuhitaji mtu wa nje aje atuambie. Kama ulisema, bas ulifanya hivyo kujifurahisha coz sisi tulijua kabla yako. Sisi tulijua tangu msimu wa pili haujaisha, tangu tupo pre season tunawafunga nyinyi nne.
Na msimu huu tangu pre season tunasema Kai anaharibu timu, mechi ya kwanza inachezwa watu tukagawanyika.
Hatukuhitaji wewe uje kutuambia tutakua wapi.
Hujui kitu