Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kwa definition ya physicality kwa mujibu wa Mikel Arteta Kai yupo mbele ya Eddy na Jesus sababu kubwa ni mrefu, something which i agree, Kai ana uwezo mkubwa wa kuipa timu tactical variation kuliko hawa wawili. Binafsi kiroho ngumu ningependa kumuona Kai at CF, Ode RCM, Viera Lcm, Rice at 6, Partey inverted fb ili aendelee ku cover gap lililoachwa na Xhaka defensively akisaidiana na Rice.
Hiyo ni sabb ya kumkingia kifua kai tu arteta anaitumia ila kwenye uhalisia Huwez ukamwelewa sasa upambanaji wa jesus na nketia utafananisha na kai mzugaji na mzururaji alafu arsenal utamaduni wetu sio physicality hayo ni mambo ya chelsea na kina newcastle timu inaposses muda mwingi inahtaji tu kuzid kucreate chance na kuweka mpira kunyavu mbon last season tuliupiga mwingi huku xhaka ambae si middle mnyumbulifu alionekn anaupiga mwingi kocha nae ni mwanadamu anafanya makosa yaliyowazi na akikaza shingo tu kwa huyu kai tutastruggle vibaya mnoo bora ufungwe umezidiwa kuliko ufungwe au kudroo huku umeushika mchezo
 
Ila Nyukesto wametuangusha sana leo, yaani baada ya ile redcard ya VVD uwanja ulikua tayari umeshalala upande mmoja walikua wanauwezo wa kuwashona zaidi hata ya goli 3, yaani hawa jamaa na wenyewe kumbe wana kaUnyumbu flani hivi, shida sijui na wao kujiita United?
Labyrinth 84 leo mmezingua kinyama sana aiseee ndugu yangu, yaani hawa livakuku hua wanatunyanyasa sana Utd nikaamini baada ya Gordon kutupia goli la kwanza na vvd kula umeme mtatulipia vile vipigo vya mbwa koko nikajisahau kumbe na nyie pia ni United tu kama sisi.
Mmeanza kushinda lakini mkuu...mechi yenu na Nottingham mmepambana haswa kiume...United imeanza kurudi🤠🤠🤠...j2 tunawasubiri mje mtufundishe boli plae Emirates😅😅😅
 
Hiyo ni sabb ya kumkingia kifua kai tu arteta anaitumia ila kwenye uhalisia Huwez ukamwelewa sasa upambanaji wa jesus na nketia utafananisha na kai mzugaji na mzururaji alafu arsenal utamaduni wetu sio physicality hayo ni mambo ya chelsea na kina newcastle timu inaposses muda mwingi inahtaji tu kuzid kucreate chance na kuweka mpira kunyavu mbon last season tuliupiga mwingi huku xhaka ambae si middle mnyumbulifu alionekn anaupiga mwingi kocha nae ni mwanadamu anafanya makosa yaliyowazi na akikaza shingo tu kwa huyu kai tutastruggle vibaya mnoo bora ufungwe umezidiwa kuliko ufungwe au kudroo huku umeushika mchezo
Price tag ya Kai itamsumbua sana machoni kwa mashabiki😅😅😅...ile game nimeona kuna nafasi kama mbili alikuwa anakosea kutokuwa na speed kufika eneo la hatari aweke mpira kambani....pale ametuangusha ila mm binafsi Nina Imani naye kubwa sana😅😅....Nina Imani naye kwa sababu pale arsenal tumewahi kuwa na mtu anaitwa Aaron Ramsey...hyu mwamba nilikuwa nikimuona starting eleven nakereka kishenzi maana alikuwa anarukaruka tu uwanjani ila Babu Wenger akawa anampanga tu mechi zte....alikuja akabadilika kabisa na kuwa WA moto kwlikwli...kama kawaida yetu alivyokuwa mzuri na tukamuuza🤠🤠🤠...kwhyo mm bdo naamini Kai ata deliver
 
@Hamisi77 arsenal2004 team yenu ina tatizo gani hili?
Mkuu ni siku mbaya tu kazini😅😅😅...nilikuwa nahesabu chances za magoli tulizokosa ni kama 10 hivi kwa sababu ya kumkosa yule forward anayehakikisha mpira upo kambani....Kai naye ametuangusha kidogo... Trossard haikuwa siku yake...ila Vieira naona kaanza kukaza kiuno😅😅😅...after all kama Arteta ana shida yyte na Gabriel Malgalhaes amalize naye tu....lile goli la kusawazisha wale jamaa kama angekuwepo lisingepatikana....bado still naamini tutafanya vzuri msimu huu
 
Daaah madogo wamezingua sana wakaanza kuleta mpira wa kibishoo kama hawa false hopers wa humu , gemu ilikua tumalize mapema kabisa.
Eddie howe naye ni fala tu amekariri subs gordon alikua anampa kashikashi trent alivyotoka plus tonali pale kati basiii matokeo ndo yakawa kama vile .
Daaahhh mechi ya jana imeniuma kinyama, utafikiri aliyefungwa ni Man Utd, hawa Livapulu laiti mngeacha ubishoo mkawagonga goli nyingi ninauhakika kila timu mtakayo kutana nayo ingekua na kitete na ingekua ni advantage kubwa sana kwenu, ila kwa ule umama mlioufanya jana hakuna timu yoyote itawaogopa mtaonekana hamna tofauti yoyote na Nottingham Forest.
Mimi kwenye mpira hakuna siku ninayokua na furaha sana kama siku Livapulu na Arsenyau wakigongwa.
 
Mmeanza kushinda lakini mkuu...mechi yenu na Nottingham mmepambana haswa kiume...United imeanza kurudi...j2 tunawasubiri mje mtufundishe boli plae Emirates
Utd imeanza kurudi wapi hebu acha kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa, yaani ndani ya dakika 3 tu tokea kuanza mpira tayari tushakula chuma 2 za fastafasta tena timu yenyewe ni Forest?
Hiyo juzi kwa zile dakika 3 chuma mbili laiti tungekua tunacheza na livapulu angetushona goli 7 tena punda yule.
Kwa Utd kinachonipa faraja kwa sasa ni kuumia tu kwa Freemason.
 
Tuweke tofauti pembeni, nyumbu tukamzabue hiviView attachment 2730586
Bila ya Kai hapo kiungo hakijakamilika, huyo Jasusi bado hajawa fit kuanza kwenye first eleven, na mkimforce kumuanzisha basi katikati au mwisho wa mechi lazima mumkimbize hospitali.
Nyie tulieni mfurahie pressing & overloading toka kwa Teta ball burudani kwa wote, lakini sio muanze kumpangia Classmaster kikosi.


3725869_1_articlelarge_GettyImages-1640348663_1_.jpg
 
Declan Rice at 6 anatupa controlled possession, Partey aendelee kucheza inverted RB, huwezi kuwa na namba sita ambaye hawezi kupiga pasi kwa usahihi, hawezi kufanya uchaguzi mzuri wa pasi.
 
Declan Rice at 6 anatupa controlled possession, Partey aendelee kucheza inverted RB, huwezi kuwa na namba sita ambaye hawezi kupiga pasi kwa usahihi, hawezi kufanya uchaguzi mzuri wa pasi.
Daah wewe jamaa, unaji overdose kwenye kuufikilia mpira na matumizi ya Mchezaji.

Rice kwenye namba 6

Partey kwenye namba 6

Wewe unaenda na Rice?? Tutapigwa goli mpaka tuchanganyikiwe na ishajionyesha Rice bado haiwezi 6 hapo hadi mwakani
 
Duuuuh!!!!!

Expectations msimu huu ni kubwa sana. Bado anajilinganisha na msimu ulopitaView attachment 2731226
Kiukweli ukiangalia ule mchezo na mwaka ulopita tulivyocheza nao pale Emirates unaona kabisa...katika mechi ambayo tumekosa chances nyingi z kufunga ni huu...totally tukiwa dominate ila mbele hatukuwa na ufanisi ule wa siku zte....goli kwa uchache za kushinda zingekuwa ni 5+ ila ndo hvyo....we move on to the next one
 
amna kitu pale.... Wanavyocheza man city na sisi arsenal ni vitu viwili Tofauti. Wenzio wana stones na Rodri ambao wote ni wazuri wa kuzuia wanaposhambuliwa . Wewe una Partey na Rice ambae mmoja ni mzuri kwenye kuzuia (Rice ) kuliko partey . Kwa hiyo Arteta asiforce mambo. Amsubiri Timber arudi ndo acheze hii Formation
 
Back
Top Bottom