zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,177
- 39,627
Mbona second half mfumo uliporudi wa zamani tumeona game iki flow vizuri?namna timu inavocheza saivi ;role ambayo arteta anampa partey ya kuwa inverted full back wa upande wa kulia kaona anaicheza vema zaidi ndio sababu hataki iyo nafasi acheze mwingine kwa sasa.
Ujuaji umezidi akubali tu alikula hasara kwa Havertz, amuweke benchi tu then 8 acheze Rice maana 6 haiwezi kabisa kulinganisha na Partey.