Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mfumo haujatufunga ,

Hatujatengeneza nafasi za kufunga?

Fulham wameshikilia bomba sana
This is bullshit, mfumo unatakiwa ukupe output. In these past 3 games we have been poor na huu mfumo, katika match zote matokeo yamepatikana baada ya kuswitch kwenda mfumo tuliouzoea. Huu mfumo unatuexpose sana upande wa kulia.

Sasa nakuambia hivi tukianza na mfumo tulioanza nao leo against UTD tarajia tutaconceed in quick successions within first 20mins.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goli la Leo limefungwa sababu ya mapungufu ya right side ?
 
This is bullshit, mfumo unatakiwa ukupe output. In these past 3 games we have been poor na huu mfumo, katika match zote matokeo yamepatikana baada ya kuswitch kwenda mfumo tuliouzoea. Huu mfumo unatuexpose sana upande wa kulia.

Sasa nakuambia hivi tukianza na mfumo tulioanza nao leo against UTD tarajia tutaconceed in quick successions within first 20mins.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nisikilize mm manjesta hakuna timu pale
 
Kwenye ukweli tuzungumze ukweli tu.. watu wanajifanya wajuaji kutetea hii Formation . Lakini kiukweli hii haitupi favour kweny kutafuta magoli zaidi na zaidi inatufanya tuwe vizuri kwenye kulinda kwa style ya kuutawala mpira. Arteta anajaribu kwenye mechi ambazo siyo za kujaribu. Hizi mambo jaribu carabao na Fa huko ukitaka kina Kai waelewe unachokitaka . Formation ilitakiwa iwe ile ile.. Ramsdale ... white .. saliba.. Gabriel. Zinny.. kati weka partey mbele kidogo weka Ode weka na Rice mbele Kama kawaida Saka .. Jesus/Trossard/ Kai.... Martinel Aone Kama watu hawatatema Bungo... Narudia tena akichezq tena hii Formation Game ijayo na Nyumbu Tunakufa si chini ya goli 3
 
Nisikilize mm manjesta hakuna timu pale
Nitakuwa hapa next week kukukumbusha. Sipendi matokeo yawe negative upande wetu, ila coach akimess-up basi naona kabisa nyumbu wakijipatia matokeo kiurahisi.

NB:
Currently we are not in a position to troll UTD. Mimi nitanyamaza mpaka baada ya match coz sina fake confidence ya kufanya hivyo hasa kwa kuzitizama mbinu alizoanza nazo coach msimu huu. As it stand the chance for both teams to have the last laugh is 0.5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal kachezaje vibaya Leo had ulaumu mkuu ,

Arsenal akishinda unalalamika

Tukisare unalalamika

Tukifungwa unalalamika

Xg Leo ilikuwa

Arsenal (3.01) 2-2 (0.46) Fulham

Wasifie Fulham hasa Leno kwa kushikilia bomba

Nafasi nyingi tumetengeneza ,ufanisi wa kipa wao umeonekana
Acha kusifia ujinga mkuu.

Ujinga wa Arteta kulazimisha kumchezesha Havertz ndio umesababisha mechi hizi 3 kucheze kwa tabu, kwanini?

- Kumchezesha Havertz ndo kunasababisha tucheze mfumo tunaocheza sasa ambao unamfosi Partey atokee LB, kitu ambacho kuwezi vuna the best out of him (Partey)

- Uwepo wa Havertz hauna faida kwa timu, he is too lazy to be an offensive midfielder. Na anafanya makosa mengi kuliko mazuri na yeye ndie anaeleta imbalance kwenye timu. Ukitaka kujua hilo angalia alivyoingia Fabio Vieira.

Arteta aache sasa kumlinda Havetz, akubali tu £60 mil ni nyingi sana na kaipoteza, pesa ambayo tungeweza kupata mbadala mzuri wa Saka, hapo namzungumzia Diaby/Kudus.
 
[emoji1] Baada ya kuona mmepata draw nilichukia nilitaka mpigwe ila nature ya draw ilivyotokea ikanifanya nikafurahi zaidi.

Dk ya 86 mlikuwa na matumaini ya kuchukua points 3 wahuni wakakomba 2 wote mpate 1. [emoji1787]

Arsenyani back to default settings.
Kwa timu yenu ile asee

Nashangaa hata umekujaje humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom