Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna mjadala unaendelea kuhusu kikos Cha leo

Tunataka kuwaona Zinny Partey Ødegaard Rice na Kai kwenye lineup

Lakin Kwa uchezaji wa Zinny huwa ana unlock ule upande wa kushoto

Ili wote hao wacheze ,Basi inabidi Kai aanze Kama CF means Nketiah atokee bench

Lakin Kuna Trossard ambaye amekuwa na kiwango kizuri akicheza LCM eneo ambalo kwasasa yupo Rice na Kai

Kwasasa itabid tukubali Kuna wachezaji tunaowapenda waanzie benchi , na urejeo wa Jesus ndio unazidi kuongeza matatizo

Nketiah amekuwa na kiwango Bora imefanya hata kocha ashindwe kumuweka bench

Wachezaji kama Trossard ,Smith Rowe ,David Raya wasubiri mechi za UCL

Binafsi natamani kuiona Arsenal ya 4-3-3

Yenye midfielders Partey Ødegaard na Rice Kama LCM, bado Arsenal hatujatumia hii midfielders ,waandishi walimuuliza Jana Arteta kuhusu hii midfielder, akasema aliitumia dhidi ya city tu, so soon tutaiona akiongezeka na Zinny ,

CF napenda kumuona Jesus ,but kwa game za away napenda kumuona Kai kama CF
 
Watu wasichojua ,Kai amesajiliwa kwa ajili hasa ya tatizo letu la mipira ya juu,

Wanaokumbuka vzr Kuna mechi tulipoteza vs Everton sababu tu waliamua kucheza mipira mirefu

Arsenal ya Sasa ikitaka kucheza na timu inayotumia Sana mipira mirefu Basi kiufundi ndani utamuona Kai eneo la kiungo

Toka mechi na mancity amekuwa aki win mipira yote ya inayopigwa juu

Mechi nyingi za away wapinzani wanapenda kutumia mipira mirefu ,lakin pia Kuna muda utahitaji kucheza mipira mirefu imfikie CF atakayeituliza na kufanya transition

20230822_190444.jpg
 
Bukayo Saka:


“Declan Rice adds a lot. It’s quality, leadership, desire. He’s just everywhere & he’s going to be a really big addition for us. You can already see the impact he’s having on us.”


[Guardian]
20230824_113925.jpg
 
Trossard, Kai Havertz, Declan Rice and Martinelli all start for Arsenal. Gabriel Jesus is on the bench.
 
Full Arsenal XI

Aaron Ramsdale (GK), William Saliba, Ben White, Jakub Kiwior, Thomas Partey, Bukayo Saka, Martin Odegaard (C), Declan Rice, Gabriel Martinelli, Leandro Trossard, Kai Havertz.
 
Full Arsenal XI

Aaron Ramsdale (GK), William Saliba, Ben White, Jakub Kiwior, Thomas Partey, Bukayo Saka, Martin Odegaard (C), Declan Rice, Gabriel Martinelli, Leandro Trossard, Kai Havertz.

3-Diamond -3

Kai as CF?

FORMATION ya Leo sijaielewa
 
The bench is looking very strong if we need a goal. Has to be said. Come on @Arsenal
20230826_160108.jpg
 
Full Arsenal XI

Aaron Ramsdale (GK), William Saliba, Ben White, Jakub Kiwior, Thomas Partey, Bukayo Saka, Martin Odegaard (C), Declan Rice, Gabriel Martinelli, Leandro Trossard, Kai Havertz.

3-Diamond -3

Kai as CF?

FORMATION ya Leo sijaielewa
433 havertz mid, trossard/martinelli ndo mtu kati hapo mbele labda false nine
 
Gabriel Magalhaes hana uhakika wa kuanza

Mikel alisema

“Anapopata dakika anionyeshe jinsi nilivyokuwa kipofu”.

Natumai hii itasaidia kuongeza kupigania namba
 
Back
Top Bottom