Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu uwepo wako humu hua unaniletea faraja kubwa sana, lakini leo si umeona jinsi Masterclass The genious mwenyewe Michel Arteta jinsi kikosi chake kinavyofanya pressing, overloading na downloading?

Nimeona super mikel mwenywe jamaa ni genius haswa. Kai anacheza natural position yake na ana win Aerial duels na si ku win match . Most valuable squad iliyovuka phase tutarajie makubwa mwaka huu au nasema uongo ndugu zangu.

Nina wazo inabidi jezi ziwe zinarushwa juu siku moja kabla ya match ili kama fans hawakubaliani na first 11 iliyowahi kushika jezi basi urushwaji wa jezi urudiwe.
 
Huyu kijana alifunga goli champions league final na kuwapa blues UEFA CL ya pili aheshimiwe ,mnamsakama kweli mpaka anakosa Raha.Kai mnamtumia vibaya huyu angebaki Chelsea hadi Sasa angekuwa katupia huyu.
Acha kusifia ujinga mkuu.

Ujinga wa Arteta kulazimisha kumchezesha Havertz ndio umesababisha mechi hizi 3 kucheze kwa tabu, kwanini?

- Kumchezesha Havertz ndo kunasababisha tucheze mfumo tunaocheza sasa ambao unamfosi Partey atokee LB, kitu ambacho kuwezi vuna the best out of him (Partey)

- Uwepo wa Havertz hauna faida kwa timu, he is too lazy to be an offensive midfielder. Na anafanya makosa mengi kuliko mazuri na yeye ndie anaeleta imbalance kwenye timu. Ukitaka kujua hilo angalia alivyoingia Fabio Vieira.

Arteta aache sasa kumlinda Havetz, akubali tu £60 mil ni nyingi sana na kaipoteza, pesa ambayo tungeweza kupata mbadala mzuri wa Saka, hapo namzungumzia Diaby/Kudus.
 
Kucheza na Fulham Nottingham Forest and Crystal Palace na kupata results za kustruggle namna hii then bado hujawaface strong teams naona kuna dalili ya hatari sana na huyo Partey anayepewa nafasi ya beki 2 ili aingie Mid huku una Kai Mzigo wa team naapa Arteta kuna siku atadhalilika akikutana na strong opponents abadilike HARAKA SANA NAFASI YA KUBADILIKA IPO
 
hi ni wake up call kwa wachezaji na kocha mwenyewe.. baada ya kufungwa goli la mapema.. timu nzima ilikosa utulivu kbs.. papara zilikuwa nyingi mno.

arteta kwa mfumo huu.. kai ni mchezaji ambae haja fit bdo swa saw.

ule mfumo wa mechi ya ngao ya jamii ndio mfumo bora zaidi kwa aina ya uchezaji wa kai ulivo ila vinginevo bas kila game zitamuangukia lawama uyu bwana mdg.
 
Post-match interview ya Arteta ukimsikiliza utaona jamaa hana mpango wa kubadilika kwa sasa.

Anaendelea kuwalaumu wachezaji kwa kutojituma wakati ujinga wake ndo unai-cost timu.

Jamaa ana-overthink, anatuumiza sisi huku.

Msimu uliopita wote tulikua tunaelewa timu yetu inavyoenda, unajua akitoka huyu anaingia huyu. Sub zinafanywa zinaonekana.

Leo hii kwenye mechi tunayotaka kushambulia unamtoa Trossard unamuacha passenger Kai ndani, unamtoa Partey wakati unajua akiwemo Partey na Zinchenko tutaweza ku-break all lines.

Poor Mikel!
 
Arsepimbi hongereni sana kwa kututoa tongotongo The Blues, ikumbukwe derby ya West Harm tulifungwa wakiwa pungufu, hatimaye ninyi mmekalia sare ya 2-2 Full Harm wakiwa pungufu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kucheza na Fulham Nottingham Forest and Crystal Palace na kupata results za kustruggle namna hii then bado hujawaface strong teams naona kuna dalili ya hatari sana na huyo Partey anayepewa nafasi ya beki 2 ili aingie Mid huku una Kai Mzigo wa team naapa Arteta kuna siku atadhalilika akikutana na strong opponents abadilike HARAKA SANA NAFASI YA KUBADILIKA IPO
Arteta toka mtaa wa Matombo nimekusikia, nakala 1 ya ushauri wako iache kwa Shabiki liandamizi la Arsepimbi Hamis77.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hawa west ham ni balaa..msimu huu hawatazamwi sana ila wanajambo lao. Chelsea kuchezea tatu pale haikuwa bahati mbaya...
Hizo ni nguvu za soda mzee ...

Mlianza kwa Newcastle, Brighton,Sasa westham ...ila tambua kuwa league inahitaji utulivu , consistency,na ukomavu wa wachezaji,ukibwa wa kocha na mentality ya team ..
 
Mpaka sasa hivi hakuna aliyekuja kutetea drama za Kai kwakua timu imesuluhu. Ingeshinda ingekua zinaletwa takwimu za kimama na kung'ang'ania "Arteta kasema tuwe unpredictable"

Ila mashabiki wa cheltako ni viazi pia. Mtu anafurahi na kufananisha kwamba wao walifungwa na timu ipo pungufu "Si mmeona nyinyi mmesuluhu"

Angalia tulivyopata goli la 2 tukarudi nyuma tukawa tunajiandaa kumaliza mechi na wao wakawa wanakuja, walivyosawazisha ghafla tukawa tunacheza mno nje ya box lao. Huu uchezaji wa baada ya timu kusawazisha kwanini hatukua tunaucheza tangu mwanzo?

Na simaanishi mwanzo wa mechi ya jana namaanisha tangu mechi ya kwanza tuliyoshinda 2 watu tukasema "Hakuna namna unajua idadi ya magoli unayohitaji ila unaridhika na 2" wakatokea watu wakadai tulikuja na matokeo mfukoni.

Of coz we did. Why? Timu on paper inatakiwa ishinde zaidi ya goli hizo kwanini uwanjani inashindwa? Tukasema Kai ni shit wao wakasema "Arteta kasema sisi ni unpredictable" second game huoni timu ikishambulia inashinda kwa penati.

Third game, mpuuzi anakosa big chances 2 na bado uwepo wake haumaanishi chochote, anatoka, timu inaanza kufanya inachotakiwa kufanya.
 
Chelkenge walimununua Timo kwa pesa nyingi wakaja kujua walikosea wakamrudisha walipomtoa na sababu Timo mfumo haukumfaa ni kwa vile alipokua RB alikua na SS mbele ila huku walikua wanamuacha mbele peke yake.

Kisha kocha akajaribu kumfanya LM haikusaidis.

Huyu Kai ndiyo kila kitu hakiwezekani? No, cheza naye kama SS and see assists atakazotoa.

Martinelli alikua ameanza mazoezi ya kushuti na kuscore baada ya Auba kua anaondoka kipindi kile wote tulijua Martinelli anakua CF. Alichojifunza kabaki nacho, kua best shooter na goal scorer siyo bahati mbaya ni alijifunza.

Well then kwanini asiwe CF kisha LW ukamuweka Trossard na Emile akakaa anapokaa Kai? Kati acha Partey na Rice.

Simple set up but ina watu wanataka kushinda.
 
Hizo ni nguvu za soda mzee ...

Mlianza kwa Newcastle, Brighton,Sasa westham ...ila tambua kuwa league inahitaji utulivu , consistency,na ukomavu wa wachezaji,ukibwa wa kocha na mentality ya team ..
Mkuu west ham musimu ulopita alifika sijui ni final ya Europa ama conference Ile na akabeba ivyo usimchukulie poa anaeza kuja hapo Etihad akakutowa nishai
 
Mpaka sasa hivi hakuna aliyekuja kutetea drama za Kai kwakua timu imesuluhu. Ingeshinda ingekua zinaletes takwimu za kimama na kung'ang'ania "Arteta kasema tuwe unpredictable"

Ila mashabiki wa cheltako ni viazi pia. Mtu anafurahi na kufananisha kwamba wao walifungwa na timu ipo pungufu "Si mmeona nyinyi mmesuluhu"

Angalia tulivyopata goli la 2 tukarudi nyuma tukawa tunajiandaa kumaliza mechi na wao wakawa wanakuja, walivyosawazisha ghafla tukawa tunacheza mno nje ya box lao. Huu uchezaji wa baada ya timu kusawazisha kwanini hatukua tunaucheza tangu mwanzo?

Na simaanishi mwanzo wa mechi ya jana namaanisha tangu mechi ya kwanza tuliyoshinda 2 watu tukasema "Hakuna namna unajua idadi ya magoli unayohitaji ila unaridhika na 2" wakatokea watu wakadai tulikuja na matokeo mfukoni.

Of coz we did. Why? Timu on paper inatakiwa ishinde zaidi ya goli hizo kwanini uwanjani inashindwa? Tukasema Kai ni shit wao wakasema "Arteta kasema sisi ni unpredictable" second game huoni timu ikishambulia inashinda kwa penati.

Third game, mpuuzi anakosa big chances 2 na bado uwepo wake haumaanishi chochote, anatoka, timu inaanza kufanya inachotakiwa kufanya.
Acha kulia lia wewe ..timu ipo pungufu muko nyumbani munalazimishwa draw. Huu ni udhaifu mkubwa sana ..kama siyo penalty ile Saka mtoa boko kasababisha mkapachikwa bao la mapema basi game ingelala ile.. manjesta watawaaibisha zaidi
 
Ollashoga mama la darajani
 
Chelkenge walimununua Timo kwa pesa nyingi wakaja kujua walikosea wakamrudisha walipomtoa na sababu Timo mfumo haukumfaa ni kwa vile alipokua RB alikua na SS mbele ila huku walikua wanamuacha mbele peke yake.

Kisha kocha akajaribu kumfanya LM haikusaidis.

Huyu Kai ndiyo kila kitu hakiwezekani? No, cheza naye kama SS and see assists atakazotoa.

Martinelli alikua ameanza mazoezi ya kushuti na kuscore baada ya Auba kua anaondoka kipindi kile wote tulijua Martinelli anakua CF. Alichojifunza kabaki nacho, kua best shooter na goal scorer siyo bahati mbaya ni alijifunza.

Well then kwanini asiwe CF kisha LW ukamuweka Trossard na Emile akakaa anapokaa Kai? Kati acha Partey na Rice.

Simple set up but ina watu wanataka kushinda.
Arse Anal jina linajieleza
Tumewachuna kwa Kai Havertz na hadi sasa hamjaamini eh!
 
Back
Top Bottom