Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gabriel Magalhaes hana uhakika wa kuanza

Mikel alisema

“Anapopata dakika anionyeshe jinsi nilivyokuwa kipofu”.

Natumai hii itasaidia kuongeza kupigania namba
GM6 ni moja wa wachezaji waliocheza game nyingi sana mwaka jana na mwaka juzi Arteta anapata kiburi cha kumuweka nje kwa sababu anawigo wa machaguo mengi pale nyuma, kama ilivyo kwa saka akipatikana mchezaji mwenye angalau aslimia 70 ya anachokitoa Saka na yeye atapata muda wa kupumzika kidogo. Sina shaka kabisa na uwezo wa GM6
 
Kweli mkuu, fikiria nje una Zinny na Magalhaes

Hata ku appeal kadi ya Tomiyasu,wamekataa

Hapo timber kaumia ,na ataongeza beki Tena kabla dirisha halijafungwa
 
GM6 ni moja wa wachezaji waliocheza game nyingi sana mwaka jana na mwaka juzi Arteta anapata kiburi cha kumuweka nje kwa sababu anawigo wa machaguo mengi pale nyuma, kama ilivyo kwa saka akipatikana mchezaji mwenye angalau aslimia 70 ya anachokitoa Saka na yeye atapata muda wa kupumzika kidogo. Sina shaka kabisa na uwezo wa GM6
Kuna mtu kaandika hivi

With Partey inverting inside from RB, the LB must be able to offer offensive qualities. Kiwior has shown he can invert inside, Tomiyasu is a natural fullback.

Gabriel is a centre back through and through.

He will return to playing when Zinchenko inverts from the left-hand side.
 
Mim saivi mchezaji akipata muda wa kupumzika sina tatizo kabisa, maana msimu ulioisha ilikua ni mwendo wa kauka nikuvae kuna wakati unafika wachezaji karibu wooote wako hoi.

now tuna wingi wa wachezaji wazuri nje na ndani na ukitaka kujua hilo kila kikosi kikitoma lazima kunakua na maulizo ya Why fulani hayupo
 
What is Havertz doing in that line up? Kwanini asicheze Rice hapo LCM then White arudi RB?
namna timu inavocheza saivi ;role ambayo arteta anampa partey ya kuwa inverted full back wa upande wa kulia kaona anaicheza vema zaidi ndio sababu hataki iyo nafasi acheze mwingine kwa sasa.
 
Gabriel hawezi kuanza kamwe kama inverting role inafanywa na RB
 
Unataka kusemaje yan?

Kwaiyo angekuepo Timber,Zinny asingecheza kwamwe?

Siku tukiwaona Partey kama LB na Zinny kama RB alafu Gabby asicheze utasemaje Hamis?

Na siku ukimuona Partey kwenye LB na Gabby kwenye CB utasema nin mzee?.
 
Pigaaaaaa
Uaaaaaa
Malizaaaa
Chinjaaaa

Kinawaramba huko
1682443677149.jpg
 
Hii idea ya partey kuwa inverted sijaipenda, na nimeipinga toka siku ya kwanza,
Nadhani tungeendelea tulipoishia msimu uliopita ingependeza zaidi.

Golila kwanza tumefungwa kipindi ambacho partey ana switch kwenda kwenye position CDM, saka anatoa boko, chini yupo saliba pekee against 2 kama sikosei,

Ben cheupe hakuwa inverted ila alikuwa ana msaada mkubwa sana upande wa kulia hasa kwenye kuoverlap.
 
Dk ya 14:30 huu mpira kama odergard alivyoporwa mpira asingecheza rafu,ingekuwa tabu, tayari partey alikuwa juu.
 
Back
Top Bottom