Manjestaa watakupasua huna timu ya kumfungaTunakusubiri wewe wiki ijayo
Still Arsenal bado tupo juu ,mna pwent ngapi nyieNasubir uchambuzi akinifu wa Mc masebene, Stat. za Kai alivyokua akipress.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bao la mapema mtu sekunde tu ushamwaga lakini ndio linashababishaga mimba[emoji23][emoji23][emoji23]
Zinny ndio amekuja kupiga pass nyingi za mbele kuwafungua FulhamZinshenko mpuuzi sana ana over confidence za kisenge ametugarimu
Kocha mpuuzi ana very limited skills.Arsenal ni team inayopewa sifa ambazo sio zake humu JF[emoji67]🦯[emoji67]🦯[emoji67]🦯[emoji67]🦯[emoji67]🦯[emoji67]🦯 pamoja na Red card goal limerudi na style yake ya uchezaji ni ile ile frequently no plan B ok guys Goodnight
Wewe kenge umerudi , Leta na msimamoPunda nyie [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2729568
Kaiva SanaNimemkubali FABIO VIERA
[emoji91]
Next game vs man utd ajaribu tena mbinu zakeHii sare Atreta kajitakia mwenyewe. Huwezi kujaribu jaribu mbinu wakati unahitaji matokeo. Unatakiwa ustick na winning formula na kuendelea kuiperfect. Ukihitaji kuexercise mbinu mpya basi fanya hivyo ukishakuwa umefunga hesabu. I'm very disappointed na coach leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo haujatufunga ,Hii sare Atreta kajitakia mwenyewe. Huwezi kujaribu jaribu mbinu wakati unahitaji matokeo. Unatakiwa ustick na winning formula na kuendelea kuiperfect. Ukihitaji kuexercise mbinu mpya basi fanya hivyo ukishakuwa umefunga hesabu. I'm very disappointed na coach leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana muendelezo huyo, inshort atabirikiKaiva Sana
Waliokuwa wanamponda huwez waona wakimpa credit had akosee