Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wazee wa "muhimu point 3" kiko wapi [emoji23][emoji23][emoji23]

Game mbili za kwanza mmeshinda kwa mbinde sana. Tofauti na msimu uliopita mlianza kwa kasi.

Huyu Arteta majaribio yake yatamponza, kasajili wachezaji kwa bei kubwa anaforce kuwaanzisha wote, mwisho wa siku mambo yanaharibika.
 
Hii sare Atreta kajitakia mwenyewe. Huwezi kujaribu jaribu mbinu wakati unahitaji matokeo. Unatakiwa ustick na winning formula na kuendelea kuiperfect. Ukihitaji kuexercise mbinu mpya basi fanya hivyo ukishakuwa umefunga hesabu. I'm very disappointed na coach leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fulham wameshikilia bomba Sana

Kwa XG hii

Arsenal (3.01) 2-2 (0.46) Fulham

Leno kafanya Kaz Sana ,
 
Ametoa assist
Kasababisha penalty

Shoots on target
Ile acrobatic aliyopiga was[emoji91][emoji91]

Dogo ameiva kweli. Tbag [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Waliokuwa wanamponda huwez waona ,toka mech na city katakata Sana

Namuona akiingia first eleven soon
 
Wazee wa "muhimu point 3" kiko wapi [emoji23][emoji23][emoji23]

Game mbili za kwanza mmeshinda kwa mbinde sana. Tofauti na msimu uliopita mlianza kwa kasi.

Huyu Arteta majaribio yake yatamponza, kasajili wachezaji kwa bei kubwa anaforce kuwaanzisha wote, mwisho wa siku mambo yanaharibika.
Wewe manjesta umeona timu lako lilivyocheza leo

Au mnadhan mech yenu hatujaangalia

Mna Hali mbaya Sana
 
Tatizo sio sare style ya Arsenal mean uchezaji wake unafahamika na hautabadilika abadani
Arsenal kachezaje vibaya Leo had ulaumu mkuu ,

Arsenal akishinda unalalamika

Tukisare unalalamika

Tukifungwa unalalamika

Xg Leo ilikuwa

Arsenal (3.01) 2-2 (0.46) Fulham

Wasifie Fulham hasa Leno kwa kushikilia bomba

Nafasi nyingi tumetengeneza ,ufanisi wa kipa wao umeonekana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom