Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkohoti na Flano naombeni majibu

Who will be the better signing?

Antony
Mykhailo Mudryk
20230822_085036.jpg
 
Mechi za Emirates huu upande waanze Zinny, na Trossard au Rowe

Kai na Tomi wasubiri mech za away au zile za mipira mirefu

20230822_165403.jpg
 
️ | FOLARIN BALOGUN UPDATE

Chelsea are very much interested in Arsenal’s Folarin Balogun, but a deal looks impossible with the clubs nearly £25m apart in valuation.

Chelsea want to sign him for around £45m, while the Gunners have quoted their London rivals £70m.

£50m is the valuation for clubs abroad or not direct rivals. Arsenal want similar numbers to what they paid for Kai Havertz.
 
Habari za kuitana machawa zinakujaje Sasa😅😅😅...mbona mnaanza Kuni attack personally Sasa...mnataka tufanane mawazo wte hmu ndani au😅😅😅....umeona mpira alopiga Martinelli jana mkuu au bdo unamfananisha na kile kituko chako Mudirikiiii😅😅😅....siku zte Tapeli lazima na yy atapeliwe....na bado mnamtaka Balogun mtaitapika 50 tusawazishe score😅😅😅...msimu mwingine huu mjiandae kutupa point 6 tawi letu
Nasema hivii, Mudryk bado roho inawauma, kama liva roho inavyowauma kwa Caicedo.
Huyu huyu Mudryk ndio anakuja kuwapga pale pale Emirate, halafu anakuiss budge! Aisee mtatamani kufa.
 
Nasema hivii, Mudryk bado roho inawauma, kama liva roho inavyowauma kwa Caicedo.
Huyu huyu Mudryk ndio anakuja kuwapga pale pale Emirate, halafu anakuiss budge! Aisee mtatamani kufa.
Mudryk 😆😆😆 huyo si chura tu
 
Kuna dalili tukafanya biashara na Chelsea dakika za mwisho za kufunga dirisha



Arsenal striker Folarin Balogun is keen on a sensational move to Chelsea.

Monaco and Fulham are also keen on the 22-year-old who has been told he can leave this summer but Arsenal have been demanding a huge £50m fee.

It is believed Arsenal might ultimately be prepared to lower their sights and compromise just above £40m with time running out in the transfer window

(@johncrossmirror )

mirror.co.uk/sport/football…
 
Timu nyng wakikutana nao sasahv kwa kipindi kikubwa cha mechi wanawakaba 2v1 kwny flanks..hasa ule upande wa Saka niliona naona sana anakabwa na wawili
Nasema hivii, Mudryk bado roho inawauma, kama liva roho inavyowauma kwa Caicedo.
Huyu huyu Mudryk ndio anakuja kuwapga pale pale Emirate, halafu anakuiss budge! Aisee mtatamani kufa.
Mkuu hata wewe ukikamia mechi moja unaweza funga hata kama hujui mpira kinachoongelewa hapa ni ile worth ya mchezaji ionekane hatusemi san kwa enzo sabb kidogo anacheza na anaonyesha timu ikikaa sawa atashine zaidi...Yes,mimi ni mmja wapo wa mwana gunners nlieumia kumkosa mudryk sabb nlijua kbx mfumo wetu na uwepo wa saka ungefanya wapinzani wasumbuke sana hasa beki za wapinzani pia ingeongeza upinzani kwa martinell ambae ni kam amebwetek sabb namba yake imekosa challange sahh...trossard yupo ila huyu si mtu anakupa energy muda mwingi hasa kwenye kubalance kukaba na kushambulia ila ni mzuri kucheza dakika chache akiwa nyuma ya striker au akiwa striker kivuli.
Nikirudi kwa bwana mudy kiukweli bado ni kijana mdogo anamuda wakutosha shida inakuja hapa nikama mfumo wenu umemkataa ndio maana ndio maana wana gunners tunamcheka dogo mudy kimoyomoyo kuna nyakati maisha yanahtaji msimamo sio kuyumbishwa kama demu ndio maana leo bwana ubwabwa anaenjoy football akiwa gunbers uhakika wa namba na anaubonda kwa moyo angekuwa bendera fata upepo nae angekuwa amejichanganya na wasokota nyweli...
Nikija kwa coicedo liver hawawez umia nae kwasababu hizi dili halijachukua muda mrefu limevumishwa haraka na likafa haraka na pia coiced ameonyesha mapenz kwa chelsea na naon alivutiwa na life la london sabb hata sisi alikuwa tyr kututumikia..
Acha mudy aendelee kutaabika benchi na vipigo ili iwe somo kuwa mwanaume lazima uwe na msimamo sio kuyumbishwa kama demu
 
real madrid are monitoring gabriel arsenal's CB as a militao replacement
 
real madrid are monitoring gabriel arsenal's CB as a militao replacement
Arsenal wamesema hauzwi na wamegoma kutaja Bei

Kwasasa ngumu kupata LCB quality , alikuwa Larpote ,Lakini city wamesema hawawezi Tena kufanya biashara na Arsenal
Screenshot_20230821-205029_1.jpg
 


Positive talks continue between Monaco and Arsenal over the signing of striker Folarin Balogun.

One source has told Sky Sports News that Arsenal's asking price for Chelsea would be higher than if Balogun was to move abroad.

(@skysports_sheth )
 
“I had no clue to be fair. I was surprised like everybody else.”

Mikel Arteta on Martin Ødegaard stepping up to take the Arsenal penalty over usual taker Bukayo Saka.
 
Nasema hivii, Mudryk bado roho inawauma, kama liva roho inavyowauma kwa Caicedo.
Huyu huyu Mudryk ndio anakuja kuwapga pale pale Emirate, halafu anakuiss budge! Aisee mtatamani kufa.
Muddy ni sleeper agent wetu tu hapo darajani. Tukimuactivate tu Kwa code word, kwisha habari yenu
 
Ukitaka kujua Ku press ni Sanaa kaangalie manjesta inavyopress pale mbele Rashford,Sancho na masebene halafu kaangalie Kai anavyo press ,utajua kupress kwa akili ni Sanaa na inafundishwa na sio kila mchezaji anajua kupress

Then utagundua Kuna tofauti Kati ya kufanya press na ku chase ball



20230822_201203.jpg
 
Kevin Campbell anaamini kuwa baadhi ya watu wana ajenda mbaya dhidi ya mshambuliaji wa #Arsenal Eddie Nketiah:

"Eddie alifanya kazi kwa bidii dhidi ya Palace, alifanya vizuri sana kama mshambuliaji anayeunganisha mchezo huo.

"Yeyote anayecheza na Eddie hivi sasa lazima awe na ajenda. Sehemu ya kazi yako kama mshambuliaji ni kufunga mabao, kwa hivyo utakosa baadhi.

"Watu wengi hawapendi kumuona Eddie Nketiah pale mbele , hao ndio watu ambao wana shida.

Sina shida, nilidhani alicheza vizuri.

Kuna mtu alisema hapo awali ‘unawezaje kusema Eddie alicheza vizuri ikiwa alipoteza nafasi tatu?’

Kwani huwezi kucheza vizuri na kukosa nafasi tatu? Ni mawazo ya kijinga kabisa.

"Watu wanataka tu kumuandama Eddie, lakini Eddie alifanya vyema leo ninavyoona mimi, ndio ni backup yetu, lakini amecheza mechi mbili na tumeshinda zote."
20230822_201902.jpg
 
Back
Top Bottom