hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,519
Upo sahihi ndio maana naiona UCL league,sio ile ya miaka mitatu nyumakwa hio 250m wanayoitaka psg yawezekana unachokisema kikawa kweli
madrid wanamapengo kibao mechi iliyopita kepa kasave shots 7 na zengine 20 zikiwa off target dhidi ya Almeria hii inaonesha ni jinsi gani team ilivo pwaya upande wa defence una matobo ya kuziba
kwa hio 250m wanayoitaka psg madrid wanaweza msajili jeremie frimpong RB toka leverkusen ...alphoso davies LB wa bayern plus a world class stiker victor osimeh from Napoli
Hapo wanakuwa tena elite team
Madrid,baryen, Barcelona waliokuwa magiant wamekuwa timu za kawaida Sana