Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Atapandwa na Saliba mara mbili tu mgongoni kwny kupiga mipira ya vichwa...uti wa mgongo utastuka😅😅😅....ataomba kutoka na moja kwa moja watampeleka dressing room kufanyiwa assessment....tupo hapa
Huyu jamaa Rasmus si anaruhusiwa kucheza dk 15 tu Kwa mechi sita? Ataweza pressing na overload zetu huyu? Acha masihara
 
Hujui mpira ,aliyekaa na mpira muda mrefu ni Kai
Masingeli usiwe unabisha hoja bila kuwa na uhakika! Tomy kakaa na mpira 8.8sec wakat Kai kakaa na mpira 8.2sec.
Halafu mshukuru mlipewa mbeleko y penalt na pia Palace wakanyimwa penalt lasihivyo tungekua tunaongea mengine, hapa utaanza kutuletea takwimu zako uchwara utafikiri mpira ulikua unaangalia peke yako na chawa wako arsenal2004
 
Mkuu kauli mbiu ni ileile....Kila mtu abaki kwny matatizo yake...yle jamaa wa Nyukesto naona yupo kimya sana🤣🤣🤣....jana itakuwa alikuwa anaangalia mpira akiomba litutokee baya lolote aje kututolea mbovu humu....In short msimu huu maadui wameongezeka zaidi🤣🤣🤣...Wa Man u...wa Chesiiiiii....wa Liverkuku...wa Man shitty...wa Nyukesto yaani wanaomba tembo asipande juu ya mti tena
Na Spurs.
 
Atapandwa na Saliba mara mbili tu mgongoni kwny kupiga mipira ya vichwa...uti wa mgongo utastuka😅😅😅....ataomba kutoka na moja kwa moja watampeleka dressing room kufanyiwa assessment....tupo hapa
Si unaona mkuu? Yaani hicho ki Rasmus kikutane na lisaliba au ligabriel...daah. Nakionea huruma sana hiko kijamaa. Flano sometimes anapenda tu kuropoka ujinga, tunsamehe bure. Mara mia Masebene anaweza maana ligabriel linamsamehe mwananchi mwenzake. Na Yule Rashidi huwa wanamuachia apate kigoli mara moja moja maana ni muingereza na nyumbu wanavyopendwa na marefa, ukimtaiti sana unapewa red bila sababu. So tunamuachia kisiasa. Ila kale ka Rasmus.....nakaonea huruma Kwa kweli
 
Habari za kuitana machawa zinakujaje Sasa😅😅😅...mbona mnaanza Kuni attack personally Sasa...mnataka tufanane mawazo wte hmu ndani au😅😅😅....umeona mpira alopiga Martinelli jana mkuu au bdo unamfananisha na kile kituko chako Mudirikiiii😅😅😅....siku zte Tapeli lazima na yy atapeliwe....na bado mnamtaka Balogun mtaitapika 50 tusawazishe score😅😅😅...msimu mwingine huu mjiandae kutupa point 6 tawi letu
Masingeli usiwe unabisha hoja bila kuwa na uhakika! Tomy kakaa na mpira 8.8sec wakat Kai kakaa na mpira 8.2sec.
Halafu mshukuru mlipewa mbeleko y penalt na pia Palace wakanyimwa penalt lasihivyo tungekua tunaongea mengine, hapa utaanza kutuletea takwimu zako uchwara utafikiri mpira ulikua unaangalia peke yako na chawa wako arsenal2004
 
Habari za kuitana machawa zinakujaje Sasa😅😅😅...mbona mnaanza Kuni attack personally Sasa...mnataka tufanane mawazo wte hmu ndani au😅😅😅....umeona mpira alopiga Martinelli jana mkuu au bdo unamfananisha na kile kituko chako Mudirikiiii😅😅😅....siku zte Tapeli lazima na yy atapeliwe....na bado mnamtaka Balogun mtaitapika 50 tusawazishe score😅😅😅...msimu mwingine huu mjiandae kutupa point 6 tawi letu
Mpe tu ukweli kuwa wao ni tawi letu.
England pale tuna viwanja vya nyumbani si chini ya vitatu:
1. Emirates stadium
2. Wembley stadium
3. Stamford bridge
 
Masingeli usiwe unabisha hoja bila kuwa na uhakika! Tomy kakaa na mpira 8.8sec wakat Kai kakaa na mpira 8.2sec.
Halafu mshukuru mlipewa mbeleko y penalt na pia Palace wakanyimwa penalt lasihivyo tungekua tunaongea mengine, hapa utaanza kutuletea takwimu zako uchwara utafikiri mpira ulikua unaangalia peke yako na chawa wako arsenal2004
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu nilipochukua data walimix, halafu kihalisia kadi angepewa kai
 
Declan Rice credited Mikel Arteta’s substitutions to the reason Arsenal were able to hold on for all three points at Selhurst Park last night.

He said the Arsenal players never stopped speaking and shouting at each other on the pitch, which helped them stay organised until the end.
 
Habari za kuitana machawa zinakujaje Sasa😅😅😅...mbona mnaanza Kuni attack personally Sasa...mnataka tufanane mawazo wte hmu ndani au😅😅😅....umeona mpira alopiga Martinelli jana mkuu au bdo unamfananisha na kile kituko chako Mudirikiiii😅😅😅....siku zte Tapeli lazima na yy atapeliwe....na bado mnamtaka Balogun mtaitapika 50 tusawazishe score😅😅😅...msimu mwingine huu mjiandae kutupa point 6 tawi letu
Chawa pro max wa Mc masingeli 😃😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787]mm boss mkubwa tu, halafu ukute wewe ni dereva wangu hujijui tu, mm nafanya kazi za brain hasa ,na manage watu Kama 100 ,

Hapa na comment pemben yupo dereva wangu ,

Haya sema lingineView attachment 2725069
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawajui Mr mponzi ni mtu mkubwa kiasi gani hapa town Kiufupi ana duka kubwa sana hapa jijini daslam la kuuza nguo na mambo mbali mbali.
 
Atapandwa na Saliba mara mbili tu mgongoni kwny kupiga mipira ya vichwa...uti wa mgongo utastuka[emoji28][emoji28][emoji28]....ataomba kutoka na moja kwa moja watampeleka dressing room kufanyiwa assessment....tupo hapa
[emoji16][emoji16][emoji16] aiseeee
 
[emoji837][emoji836]️ | [emoji408] Thomas Partey was exceptional against Crystal Palace last night.

100% groud duels won
100% aerial duels won
100% take-ons completed
100% tackles
4/6 long balls
7 duels won
2 crosses
6 ball recoveries
3 tackles
72 touches
89% pass accuracy

One of Arsenal’s most important players. [emoji1110]
 
Mkohoti na Flano naombeni majibu

[emoji599] Who will be the better signing? [emoji848][emoji116]

[emoji1054] Antony
[emoji1255] Mykhailo Mudryk
20230822_085036.jpg
 
Mechi za Emirates huu upande waanze Zinny, na Trossard au Rowe

Kai na Tomi wasubiri mech za away au zile za mipira mirefu

20230822_165403.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom