mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,694
- 19,545
Ulinichekesha Sana ulipowaambia nyumbu kuwa pass zinafundishwa sio kujipigiaUkitaka kujua Ku press ni Sanaa kaangalie manjesta inavyopress pale mbele Rashford,Sancho na masebene halafu kaangalie Kai anavyo press ,utajua kupress kwa akili ni Sanaa na inafundishwa na sio kila mchezaji anajua kupress
Then utagundua Kuna tofauti Kati ya kufanya press na ku chase ball
View attachment 2725525
Pressing za kwenye njia lazima ufundishwe, kitu ambacho itawachukua muda mwingi nyumbu kukuelewa