arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Mkipata hata point moja kwetu msimu huu niulizwe Mimi😅😅😅...na watu wetu ndo wanarudi Sasa....jana Georginho masta...Kiwior na Zinchenko kuna kipindi zilipigwa pasi pale kati hdi Palace wakawa wanajiuliza wanakosea wpi 😅😅😅...Kiboko yenu Zinchenko karudi....maji mtaita mma na ile midfield yenu siku hyo....tukicheza na nyny hatuweki kipa....ni mabeki na viungo tu....hakuna forward pia....tuoneshane makali😅😅😅😅Tarehe 3 sio mbali mkuu tuombe uzima tu, pona yenu ni mbeleko toka kwa marefa kama walivyo wabeba jana dhidi ya Palace.
Arsenyani hata akiwa mzuri kiasi gani ila akikutana na Man Utd anatetemeka, sijui ni ule uwoga wa kucheza na timu kubwa zaidi duniani.
Kikubwa hio 3Sept tutawapelekea moto mpaka mpate watoto. View attachment 2725010