Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

My compliment zinaenda kwa saka na martinel
Bado sijawaona katika ile peak level yao

Bado wanapata shida kwenye hizi One against one, ambazo tunatumia kuwaadhibu opponent wetu
Au game ya Jana ilikua ni ngumu?

Wings zetu ziongeze makali, at the moment ndio silaha yetu kubwa
Na hizo wings zinapata supply ya mipira muda wote

Odegard, rice, partey wote wanafanya majukumu yao kwa usahihi mkubwa

Backline yetu so far is so good, wapunguze kujisahau na errors ndogo ndogo waziondoe

Saka na martinel
Waongeze makali zaidi zaidi na zaidi

Ukiniambia waliocheza vibaya, nitawataja hao wawili
Timu nyng wakikutana nao sasahv kwa kipindi kikubwa cha mechi wanawakaba 2v1 kwny flanks..hasa ule upande wa Saka niliona naona sana anakabwa na wawili
 
Arsenal’s record in the Premier League when scoring first since January 2022. [Sky]
20230822_085850.jpg
 
Timu nyng wakikutana nao sasahv kwa kipindi kikubwa cha mechi wanawakaba 2v1 kwny flanks..hasa ule upande wa Saka niliona naona sana anakabwa na wawili
Saka akikabwa na watu wawili means anaprovide sapce kwa Kai na odegard
Hivyo hivyo na upande wa martinel

Achana na nafasi mbili alizokosa Nketiah, ambayo moja ndio ilikua ya wazi

Moments za saka na martinel wakiwa hatari ni chache sana, zinahesabika
Ata shoots zao golini zimekua chache, Kama martinel zingine alikua anakosa kabisa utulivu
 
Arsenal were controlling the game with the ball until Tomiyasu got sent off.

Very, very positive signs for the season.
 
My Full Time thoughts:

  • Saliba is 1 of 1 Rolls Royce, best in the world
  • Tomiyasu was poor but harsh red card
  • Partey RB gimmicks has to stop please
  • Kai Havertz again was solid
  • Ødegaard showed Enzo how to turn up when your team needs you
  • Declan Rice what a guy
  • Zinchenko is the best inverted Full Back in the world if you have a Football brain
  • David Coote, God will punish you. Amen!!

On to the next one

Let me know your thoughts gooners
Nashangaa sana hii issue ya Partey, wakati full backs wapo.
 
All four Arsenal substitutes maintained 100% pass accuracy after coming on against Crystal Palace tonight:

Jorginho (10/10)
Oleksandr Zinchenko (6/6)
Jakub Kiwior (4/4)
Gabriel Magalhães (1/1)

[@Squawka]
 
Nashangaa sana hii issue ya Partey, wakati full backs wapo.
Mfumo unataka hivo mkuu ,Partey ni fullback wa uongo tu

Kuna mtu alielezea malengo ya huu mfumo

1: Creates overoads kwenye phase zote

2: Maintain shorter distance btn players to have good passing game and easy to counterpress once ukipoteza boli

3: A good rest defense
 
Tukifungwa Flano yumo humu na maneno makali. Tukishinda Flano yumo humu na maneno makali zaidi. Jamaa hakosi sababu za kutuzonga utafikiri wakili uchwara. Naomba tumpe jamaa kadi ya uanachama wa Ze Gunners Ili Kwa pamoja tuwashumbulie kina Nyumbu, Livakuku na Chelkenge
Mkuu kauli mbiu ni ileile....Kila mtu abaki kwny matatizo yake...yle jamaa wa Nyukesto naona yupo kimya sana🤣🤣🤣....jana itakuwa alikuwa anaangalia mpira akiomba litutokee baya lolote aje kututolea mbovu humu....In short msimu huu maadui wameongezeka zaidi🤣🤣🤣...Wa Man u...wa Chesiiiiii....wa Liverkuku...wa Man shitty...wa Nyukesto yaani wanaomba tembo asipande juu ya mti tena
 
Mkuu kauli mbiu ni ileile....Kila mtu abaki kwny matatizo yake...yle jamaa wa Nyukesto naona yupo kimya sana....jana itakuwa alikuwa anaangalia mpira akiomba litutokee baya lolote aje kututolea mbovu humu....In short msimu huu maadui wameongezeka zaidi...Wa Man u...wa Chesiiiiii....wa Liverkuku...wa Man shitty...wa Nyukesto yaani wanaomba tembo asipande juu ya mti tena
@Mkohoti na Flano hawawez kuja humu kwa fujo, flano anakuja humu sababu ni Arsenal fan aliyejikuta anashabikia nyumbu sababu alikuwa anaishi kwa shemeji yake shabiki wa manjesta,ili asimuudhi akawa anashabikia nyumbu

Ila Flano ni Arsenal mwenzetu

Hapa chin ni Flano na mkohotim
20230822_085036.jpg
 
DavidJonesSky:

"Siwezi kuamini kwamba Caicedo tayari amevunja rekodi yako [ada ya uhamisho], Declan?"

Declan Rice:

"Niliiweka ukutani kwa wiki mbili, tayari imeshuka!"
20230822_070516.jpg
 
@Mkohoti na Flano hawawez kuja humu kwa fujo, flano anakuja humu sababu ni Arsenal fan aliyejikuta anashabikia nyumbu sababu alikuwa anaishi kwa shemeji yake shabiki wa manjesta,ili asimuudhi akawa anashabikia nyumbu

Ila Flano ni Arsenal mwenzetu

Hapa chin ni Flano na mkohotimView attachment 2724956
Mkuu umepiga kwenye mshono

Kuna kipindi nikawa najiuliza huyu ni nyumbu gani ambae muda wote inaiwaza arsenal
Anatumia muda mwingi huku kuliko Kule unyumbuni

Nikasema huyu atakua the gunner, matumizi ya mihadarati, bangi, pombe ndio zimemkengeua huyu mtu
 
Mi nashangaa😅😅😅😅....hiki kitabia cha kumchukia jamaa wameambukizwa kutoka kwa akina Mkohoti...
Mpira mchezo wa wazi, tutakuja kuongea lugha moja siku moja. Hata mimi nilishawahigi mtetea sana Kai kama wewe. Kai anatabia ya kupromise, sasa kila mechi utapromisiwa weee, mpk mwisho wa siku lazima utupe kitaulo.
 
Mfumo unataka hivo mkuu ,Partey ni fullback wa uongo tu

Kuna mtu alielezea malengo ya huu mfumo

1: Creates overoads kwenye phase zote

2: Maintain shorter distance btn players to have good passing game and easy to counterpress once ukipoteza boli

3: A good rest defense
Sijui kama tutatoboa nao mkuu. Ngoja tuone.
 
Tukifungwa Flano yumo humu na maneno makali. Tukishinda Flano yumo humu na maneno makali zaidi. Jamaa hakosi sababu za kutuzonga utafikiri wakili uchwara. Naomba tumpe jamaa kadi ya uanachama wa Ze Gunners Ili Kwa pamoja tuwashumbulie kina Nyumbu, Livakuku na Chelkenge
Arsenyau mnataka mnipe rushwa ili na mimi niunge mkono juhudi?
Humu wakikosekana watu kama kina Flano na Mkohoti jukwaa litapoa sana hili, kila siku mtakua mnaishia kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu ndio maana watu wenye busara tunakuja humu kuweka mambo sawa.
Ila jana mbona niliwapongeza kiroho safi tu mkuu, ingawa mliondoka na points3 lakini mlivutishwa pumzi za moto, tena bahati yenu sana hakuwepo Zaha na Olise la sivyo humu leo kungejaa matusi.
Baada ya kadi nyekundu ya Tomiyasu kwa mara ya kwanza jana nimeweza kuipongeza defence yenu, sikutarajia kama mngekua na ukuta imara kiasi kile aiseee kwa jinsi Palace walivyokua wanawapelekea moto.
Kingine kadi ya pili aliyopewa Tomiyasu ile ki ukweli kabisa alionewa maana mimi binafsi sijaona kosa lolote alilofanya pale.
Kingine ni penalt ya wazi walionyimwa Palace baada ya Rice kumvuta na kumsukuma Eze ndani ya box, inawezekana refa aliikaushia hio penalt makusudi kwa kufuta makosa aliyoyafanya kwa Tomiyasu.
Kikubwa nilichokiona kwa Arsenyo hii Man Utd tuna point zetu 6 za wazi kabisa msimu huu, pona yenu ni marefa watuletee figisufigisu.
 
Kwa Takwimu hizi , Kai kukaa nje mtasubiri sana, EPL Kuna mechi Kama huwezi kuwin Aerial duels, Ground duels hutoboi

️ | Kai Havertz won more duels than any other player during Arsenal’s opening two League fixtures.

Nottingham Forest (8)
Crystal Palace (8)

That added element of physicality is just what Arteta wanted in midfield. #AFC
 
Arsenyau mnataka mnipe rushwa ili na mimi niunge mkono juhudi?
Humu wakikosekana watu kama kina Flano jukwaa litapoa tena litakua halina hata mzuka kabisa.
Ila jana mbona niliwapongeza kiroho safi tu mkuu, ingawa mliondoka na points3 lakini mlivuta pumzi za moto tena bahati yenu sana hakuwepo Zaha na Olise la sivyo humu leo kungejaa matusi.
Baada ya kadi nyekundu ya Tomiyasu kwa mara ya kwanza jana nimeweza kuipongeza defence yenu, sikutarajia kama mngekua na ukuta imara kiasi kile aiseee kwa jinsi Palace walivyokua wanawapelekea moto.
Kingine kadi ya pili aliyopewa Tomiyasu ile ki ukweli kabisa alionewa maana mimi binafsi sijaona kosa lolote alilofanya pale.
Kingine ni penalt ya wazi walionyimwa Palace baada ya Rice kumvuta na kumsukuma Eze ndani ya box.
Kikubwa nilichokiona kwa Arsenyo hii Man Utd tuna point zetu 6 za wazi kabisa msimu huu, pona yenu ni marefa watuletee figisufigisu.
Umeanza vizuriii, halafu ukamaliza na ujinga. Eti Manyumbu wachukue points 6 kwetu? Hata moja mkipata mkatambike milimani na baharini
 
Arsenyau mnataka mnipe rushwa ili na mimi niunge mkono juhudi?
Humu wakikosekana watu kama kina Flano na Mkohoti jukwaa litapoa sana hili, kila siku mtakua mnaishia kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu ndio maana watu wenye busara tunakuja humu kuweka mambo sawa.
Ila jana mbona niliwapongeza kiroho safi tu mkuu, ingawa mliondoka na points3 lakini mlivuta pumzi za moto, tena bahati yenu sana hakuwepo Zaha na Olise la sivyo humu leo kungejaa matusi.
Baada ya kadi nyekundu ya Tomiyasu kwa mara ya kwanza jana nimeweza kuipongeza defence yenu, sikutarajia kama mngekua na ukuta imara kiasi kile aiseee kwa jinsi Palace walivyokua wanawapelekea moto.
Kingine kadi ya pili aliyopewa Tomiyasu ile ki ukweli kabisa alionewa maana mimi binafsi sijaona kosa lolote alilofanya pale.
Kingine ni penalt ya wazi walionyimwa Palace baada ya Rice kumvuta na kumsukuma Eze ndani ya box, inawezekana refa aliikaushia hio penalt makusudi kwa kufuta makosa aliyoyafanya kwa Tomiyasu.
Kikubwa nilichokiona kwa Arsenyo hii Man Utd tuna point zetu 6 za wazi kabisa msimu huu, pona yenu ni marefa watuletee figisufigisu.
Tunapigwa Sana low block

Ila usiombe upigiwe low compacted block na arsenal hii
Ata inzi hapenyi
 
Back
Top Bottom