Mbwa😺😺😺Mkishinda leo mniite mbwa nimekaaa pale
Puliza filimbi mzeeView attachment 2724692Palace wamenyimwa penati ya wazi
Labda kama una definition nyingine ys matusiJukwaa limejaa matusi hili mashabiki wake wavuta bangi![]()
Hata za kwenye kiti sisi point 3 zishasomaPenati za mezani
Kawape🤣Palace wamenyimwa penati ya wazi
Kai amecheza vzuri sana...ulitaka afunge mkuu😅😅😅...hzi kadi za hyu refa sijazielewa kabisa....au kuna agenda ya Siri dhidi yetu....kadi ya kwanza alitakiwa amlambe Kai maana ndo alichukua mpira akakaa nao akampa Tomiyasu....mjapani wa watu anataka kurusha anakula kadi....ya pili ni too soft...hii mirefa ya Uingereza Ina ufala Fulani hiviKuna mtu atakuja kusifia tulivycheza.
Atamsifia Kai pia
Vumilieni kidogo tujifunze toka kwake
Mkuu nyie pigeni kelele tu😅😅😅....nimeangalia mpira nikaona palace walikuwa hatari zaidi tulipokuwa tumetimia ila tulivyopungua na wao wakapoa kama maji mtungini😅😅😅...point 3 kibindoni....on to the next 1Arsenyau poleni kwa kubana phumbu muda mrefu, Palace wamenyimwa penalt ya wazi baada ya Rice kumvuta na kumsukuma kwa makusudi Eze ndani ya box.
Jini katoka ila mganga yu hoi taabani,
Yellow card ya pili aliyopewa Tomiyasu ilikua ni nyepesi sana, sidhani kama foul yoyote aliyoifanya pale zaidi ya kugusa tu mgongo. View attachment 2724699
Si umtaje tu huyo mtu mwenyewe kua ni Mc Hamisi Masingeli mbona unaleta konakona nyingi we Castro OilKuna mtu atakuja kusifia tulivycheza.
Atamsifia Kai pia
Vumilieni kidogo tujifunze toka kwake



Vijana wenu humu timu ikizingua wana historia ya kuharisha mvua ya matusi ni sinema kuyaangalia 😃 kama shabiki lenu hapo juu☝️Labda kama una definition nyingine ys matusi