Kwa mpira uliopigwa jana pale Ittihad bado nawapongeza sana Newcastle kwa namna walivyosimama na City nyumbani kwao.
Dakika ya 65-80 City walipelekewa Moto wa hatari ile utatoa au hautoi ila ndio hivyo tu bahati haikua kwao, ilifikia kipindi possession New 82% - City 18%
na pia kwa uimara wa City sio Newcastle tu hakuna timu yoyote kwa sasa duniani inatamani kukutana na Pep.
Kwa mpira wa jana Newcastle kufungwa goli 1 tu mimi naona ni mafanikio makubwa sana kwao, baada ya misimu miwili wanaweza kumchallenge Guardiola.
Pira lile pale Ittihad angekua ni Nyumbu, Arsenyeto, Liverkende au Chelkenge wangekula goli zisizopungua 3.
View attachment 2722591