Wanasema wanajenga timu😅😅😅...tajiri aingie sokoni tena....aje tumpe Balogun akawasaidie na nyongeza tutawapa ya bwana mkubwa Pepe akawasaidieNikiwa nawaambia kitu msibishe kwanza. Nieleweni kisha pangua ninachosema
Nilisema Pochettino hamna kocha mkawa mnanibishia.
Second game na tayari timu haieleweki inafanya nini
Angekuja kwetu angekuwa moto wa kuotea mbali...ila kwakuwa wao wanajifanya mabingwa wa kutapanya pesa wacha wabaki naye...hayo ni matatizo Yao wahangaike nayo😅😅Naandika haya kwa masikitiko makubwa Sana
Mudryk ni mchezaji wa kawaida sana
Alienda sehemu sahihiHivi Mudryk atuwezi kumchukua kwa mkopo?
Pochetino mapema Sana asee, wachezaji wengi wapya ndio kawapata wiki iliyopita,hatagombea ubingwa ninachoamini ila atapush top 4 vzr tu kuliko manjesta ya Ten hagNikiwa nawaambia kitu msibishe kwanza. Nieleweni kisha pangua ninachosema
Nilisema Pochettino hamna kocha mkawa mnanibishia.
Second game na tayari timu haieleweki inafanya nini
SahihiAngekuja kwetu angekuwa moto wa kuotea mbali...ila kwakuwa wao wanajifanya mabingwa wa kutapanya pesa wacha wabaki naye...hayo ni matatizo Yao wahangaike nayo![]()

️ | Aston Villa join race for Arsenal star.
According to CaughtOffside’s (@caughtoffside) Mark Brus, Aston Villa are looking to strike a deal for Arsenal fullback Nuno Tavares.
@mbrus88: “The 23-year-old has struggled to establish himself at the Emirates Stadium so far, despite looking a promising young player when he first joined the Gunners.”
#AFC #AVFC #Transfers
️ | Arsenal in line for £100m windfall.
@DailyCannon reports that Arsenal are set to earn an additional £100m from match day income this season after qualifying for the Champions League.
“Arsenal are projected to accrue more than £100 million from matchday incomes alone, as highlighted by football finance expert, Kieran Maguire.”
Hyu mhuni kesho atawavuruga sana😅😅😅...
Nipo mkuu hii habari nimeipata
Tajiri miluzi yy alikuwa Kila akiona mchezaji ana dreads anaruka naye😅😅😅...Sasa ndo wanampeleka huko korongoni
Tajiri miluzi yy alikuwa Kila akiona mchezaji ana dreads anaruka naye...Sasa ndo wanampeleka huko korongoni


ila Chelsea wata click tu wanachokijenga kinaonekana , Hamiss 77 mkuuu hata kuja kunipa pole hakuna hatariNipo mkuu hii habari nimeipata
Am so happy huyu Fundi kurudi
Mpira mwingi burudani yakutosha