Uyu ni mzuri kwenye timu za kupiga kaunta tu. Asa arsenal wanavyopiga draft si bora NketiaAwoinyi jamaa anajua ni vile yupo Forest
Mwana Arsenal huyu anapenda kutufunga kila tukikutana
Anastahili kuvaa Uzi wa Gunners
Timber alivyopata injury pale kabla ya half time niliamini kabisa Arteta angemtoa yan asingerudi kipindi cha pili na nilishangaa sana kumuona akirudi kipindi cha pili na bahati mbaya ndo akaumia zaid na vibaya sana.Nawacheki metz na Marseille, wanapelekeana moto mwendo mpera mpera.
Game ya bayern kane kaumia bila mpira, yasijekuwa ya timber.
Mungu amfanyie wepesi apone haraka.Timber alivyopata injury pale kabla ya half time niliamini kabisa Arteta angemtoa yan asingerudi kipindi cha pili na nilishangaa sana kumuona akirudi kipindi cha pili na bahati mbaya ndo akaumia zaid na vibaya sana.
kiswahili gani hiki? mu mu nyingi sehemu zisizo hitajikaHamuna timu humu. Musimu huu munatoka kapa.."
Achana na sisi wataalamu wewe hii arse8 muanze kutafuta pa kutokea maana mutapigiwa boli kokoto na Kai ndio yuko mbele mfungaji Bora 😂😂😂kiswahili gani hiki? mu mu nyingi sehemu zisizo hitajika
Mimi nafungua kwa app,angalia huko juu nimetoa maelekezo jinsi ya kuingia kwa app bila shidaHabarini za huku wazee wa gunners
Chama linaendeleaje?
Jukwaa letu kwenye app alifunguki, hii browser naona Kama siielewi hivi
Yaani hii takatakata iwe 150! Aisee dunia imeisha wachezaji au?Arteta masterclass ,The Talent ID
CIES Football Observatory now value Gabriel Martinelli at €150m. He is in the top 5 most expensive forwards on Planet Earth
Arsenal paid £6m for himView attachment 2721538
Mudryk ndo 150 mkuu😅😅😅....hii takataka hata 20 haivuki😅😅😅....una chuki binafsi sana na Fundi Martinelli au sababu ni ule mgoli alosababisha Kante siku ile pale Darajani 😅😅😅Yaani hii takatakata iwe 150! Aisee dunia imeisha wachezaji au?
First eleven ya arsenal wengi hawauziki, price tag yao €150m ndio tukae chini tuongeeArteta masterclass ,The Talent ID
CIES Football Observatory now value Gabriel Martinelli at €150m. He is in the top 5 most expensive forwards on Planet Earth
Arsenal paid £6m for himView attachment 2721538
Kama makalio mudiriki ana goals 0 anauzwa €100mYaani hii takatakata iwe 150! Aisee dunia imeisha wachezaji au?