Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Man Utd fans spent the whole summer debating a combined XI with Arsenal when in reality there are multiple players on the Arsenal BENCH that start for them:

Trossard > Garnacho
Nelson > Antony
Smith Rowe > Mount
Tomiyasu > AWB
 
Yule mpiga kelele wa Newcastle ambae hua anashinda kwenye jukwaa la Arsenal aje achambue timu yake inapigiwa mpira uku na City
Hao mamluki utawaona mpaka Arsenal izingue

Newcastle naomba apate hata sare au ashinde , Newcastle Hana ubavu wa kwenda mechi 5 mfululizo bila kupoteza
 
Mm Niko tofauti na ww mkuu....Nyukesto adundwe tena adundwe haswa...Ili yule jamaa wa statistics uchwara aelewe kuna wakubwa af kuna watoto kama timu yake....nilimuambia level zake ni kina Brentford huko

Mm sijawahi kuwahofia Newcastle,huwa nacheka Sana ,Mara Mia useme Chelsea ,

Yule jamaa ni swala la muda atapotea mazima humu
 
Yule mpiga kelele wa Newcastle ambae hua anashinda kwenye jukwaa la Arsenal aje achambue timu yake inapigiwa mpira uku na City
Ila Genius Pep Kipara alimkamata Arteta last season na ubora tuliokuwa nao and today tumejionea jinsi Newcastle alivyoshikwa shati kupata on target imekuwa ni bonge la exercise
 
Ila Genius Pep Kipara alimkamata Arteta last season na ubora tuliokuwa nao and today tumejionea jinsi Newcastle alivyoshikwa shati kupata on target imekuwa ni bonge la exercise
Na yeye Pep kupata on target kwa Arsenal siku hizi itakuwa mtihani ,alienda dakika 60+ anaitafuta on target kwa Arsenal haipati ,unajua kwanini

Mifumo anayocheza Pep ,Arteta anaijua vzr Sana

Kama huo wa 4CBs , wa kuinvert RB,LB,au CB awe kiungo ,

Hiyo mifumo ina principle zake

Ndio Maana makocha wengine wakijaribu wanaishia kuharibu zaidi
 
Jesus ,narudi karibuni via Instagram
20230820_072004.jpg
 
Mikel Arteta kuhusu majibu ya Ramsdales kumsaini Raya -

"Ni chanya sana."

“Ninavyowaona wakifanya mazoezi. Niliona kikao walichofanya siku nyingine na kilikuwa kizuri. Uhusiano walio nao mara moja ni mzuri sana."

"Lakini hili ni jambo ambalo halinishangazi. Ni kitu ninachotarajia kutoka kwa wachezaji.

Ni sawa na wakati nilipomnunua Declan Rice… ...sababu timu inataka kuwa bora zaidi. "

(@dailystar)
 
Mikel Arteta kuhusu kumsajili Raya -

'Siyo kamari, ni jambo la lazima,'

'Hakuna njia nyingine.

Tofauti kati ya daraja la kwanza na wale unaowaita 'wachezaji wa daraja la pili' ni kubwa sana. Je, unatatuaje hilo?

Tunaweza kuleta wachezaji bora kutoka akademi lakini kwa bahati mbaya leo hatuna mtu aliye tayari kuchukua hatua hiyo.'

'Lazima tutengeneze mazingira hayo. Sio mashindano, ni kuinua kiwango na mahitaji ambayo tutakuwa tunakabiliana nayo.'

'Unapoona vikosi vingine, ambapo vina makipa wawili wazuri sana, wanatumia £60m, £80m, £85million kununua makipa.

Hiyo ina maana gani? Tunataka kufanya hivyo kwa njia yetu wenyewe na nina furaha sana na kikosi ambacho tunakijenga.'

'Tutaendelea kujenga kikosi bora. Hicho ndicho mchezo utahitaji, kile ambacho Ligi Kuu na Ligi ya Mabingwa zitahitaji. Ni rahisi sana.'

(@MailSport)
IMG_20230809_123007_640.jpg
 
Kwhyo kwa kifupi tu ni kwmba bdo anajenga kikosi....yaani Hawa ambao wapo bdo anaona hawatoshi na ubora unahitajika zaidi😅😅
Mikel Arteta kuhusu kumsajili Raya -

'Siyo kamari, ni jambo la lazima,'

'Hakuna njia nyingine.

Tofauti kati ya daraja la kwanza na wale unaowaita 'wachezaji wa daraja la pili' ni kubwa sana. Je, unatatuaje hilo?

Tunaweza kuleta wachezaji bora kutoka akademi lakini kwa bahati mbaya leo hatuna mtu aliye tayari kuchukua hatua hiyo.'

'Lazima tutengeneze mazingira hayo. Sio mashindano, ni kuinua kiwango na mahitaji ambayo tutakuwa tunakabiliana nayo.'

'Unapoona vikosi vingine, ambapo vina makipa wawili wazuri sana, wanatumia £60m, £80m, £85million kununua makipa.

Hiyo ina maana gani? Tunataka kufanya hivyo kwa njia yetu wenyewe na nina furaha sana na kikosi ambacho tunakijenga.'

'Tutaendelea kujenga kikosi bora. Hicho ndicho mchezo utahitaji, kile ambacho Ligi Kuu na Ligi ya Mabingwa zitahitaji. Ni rahisi sana.'

(@MailSport)View attachment 2722301
 
Kwhyo kwa kifupi tu ni kwmba bdo anajenga kikosi....yaani Hawa ambao wapo bdo anaona hawatoshi na ubora unahitajika zaidi
Bado had January nadhani tutakuwa na Quality karibu kila nafasi,

Kuumia kwa Timber kunaweza kufosi Usajili wa RW usifanyike ,nasikia watasajili beki mwingine ,

Ukiangalia bado tunahitaji RCB mwingine ,tunahitaji RW , then tuweke nguvu dirisha lijalo tushushe a top CF ,
 
Wasaudia badala wakamchukue Salah wanahangaika na Arsenal

Pumbaff

Arsenal rejected €30/35m approaches from clubs in Saudi Arabia for Thomas Partey this summer. [@FabrizioRomano] #afc
 
Back
Top Bottom