Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kutoka chanzo changu Cha kuaminika kabisa


Arsenal expecting serious bids for Balogun next week. £50m inclusive of add-ons should do it. Contrary to some reports, Balo’s attitude has been excellent and has a good relationship with Mikel/Edu - just wants to play first-team football.
 
Na yeye Pep kupata on target kwa Arsenal siku hizi itakuwa mtihani ,alienda dakika 60+ anaitafuta on target kwa Arsenal haipati ,unajua kwanini

Mifumo anayocheza Pep ,Arteta anaijua vzr Sana

Kama huo wa 4CBs , wa kuinvert RB,LB,au CB awe kiungo ,

Hiyo mifumo ina principle zake

Ndio Maana makocha wengine wakijaribu wanaishia kuharibu zaidi
Uko mpira unapoelekea sio kufunga tu goli kupata on target tu kama huna timu ya kueleweka na inacheza nini itakua ni kazi sana aisee
 
Arsenal are set to make over £70million from player sales next week with the first being Nuno Tavares.

The Portuguese left-back has rejected moves to West Ham and Nottingham Forest this summer, however he has other offers on the table that are currently being discussed.

Arsenal want a fee between £15m-£20m which will be profit on what they paid for him in 2021.
20230820_141648.jpg
 
KUMBUKIZI

Siku kama ya leo mwaka wa 2021: Arsenal ilitangaza kuwasajili kiungo Martin Ødegaard kutoka Real Madrid kwa mkataba wa kudumu, kufuatia muda wake wa mkopo, kwa takriban £30m na


kipa Aaron Ramsdale kutoka Sheffield United kwa £24m, iliyopanda hadi £30m.
20230820_143153.jpg
20230820_143149.jpg
 
Rio


'Nimesikia kutoka kwa makocha waliopo klabuni Arsenal na kutoka kwa watu mbalimbali katika ngazi mbalimbali kwamba hakuna vijana wengi wenye umri wa miaka 15 katika kipindi cha miaka 10 hivi ambao wamepata uwezo anaouonyesha kijana huyu. kwa msingi thabiti. 'Tunazungumzia Fodens wa ulimwengu huu. Akiwa na miaka 15, yuko katika kiwango sawa wanachozungumza.'
20230820_143732.jpg
 
Hawa watoto wakupiga spana ya miaka 8 kama chelsea anavyofanya
Mancity na Chelsea walipambana Sana kumchukua , kwasasa ndio amesaini professional contract kwa umri wake kabla ya 17yrs nadhan hawaruhusiwi mkataba mkubwa ,niliona kasaini 2.5yrs , na ndiye kinda anayelipwa pesa ndefu kwa academy ya Arsenal

Chelsea walishamrubuni ,ni vile dogo mzaliwa wa Islington na ni Arsenal fan
 
Mancity na Chelsea walipambana Sana kumchukua , kwasasa ndio amesaini professional contract kwa umri wake kabla ya 17yrs nadhan hawaruhusiwi mkataba mkubwa ,niliona kasaini 2.5yrs , na ndiye kinda anayelipwa pesa ndefu kwa academy ya Arsenal

Chelsea walishamrubuni ,ni vile dogo mzaliwa wa Islington na ni Arsenal fan
Anacheza namba ngapi hyu dogo
 
Charles_watts kutoka Goal.com kuhusu Ethan Nwaneri:

“Ethan Nwaneri, Arsenal walipambana sana abaki msimu huu wa joto, Walifanikiwa kumbakisha.

Arsenal imeweza kumfanya akubali mkataba mpya na mkataba wa kikazi(professional contract) mara tu atakapofikisha miaka 17 na atasaini hilo."

"Hizo zitakuwa habari njema kwa Arsenal kwa sababu alionyesha kwa Vijana wa U21 haswa kwa nini alifunga hat-trick akiwa na umri wa miaka 16, sio mafanikio mabaya kama vile Arsenal walivyoifunga Leicester. Nadhani maendeleo ya Nwaneri msimu huu yatakuwa ya kuvutia sana.

Arsenal wana mipango mikubwa kwa ajili yake.” wanamuona akifika mbali .

Mikel Arteta anamuona akienda mbali sana, alimpa nafasi kama kijana wa miaka 15 msimu uliopita vs Brentford, na hiyo inaonyesha jinsi anavyomkubali.


Kama nilivyosema, Arsenal walipigana sana kumbakisha kwa sababu kwa muda mrefu, ilizingatiwa kuwa alikuwa anaondoka.

"Maajenti wengi ambao nilizungumza nao walikuwa na hakika kabisa kwamba hayupo na alikuwa anaenda kusaini Manchester City au Chelsea.

Lakini Arsenal waliweza kubadili fikra zake, wakarudisha nyuma mawazo yake kwa Arsenal na kukamilisha dili hili.”


(YT kupitia HITC).
20230820_143732.jpg
 
Premier League weekends with no Arsenal are terrible, no team except Brighton are as exciting to watch as us.
 
Atakuja kucheza wapi...nafasi ya nani....Kila mtu abaki na matatizo yake
Squad depth

Psychology dogo Hana furaha since day one, na technically unaona kabisa poche Hana time nae

Kenge fc timu ya kipumbavu Sana
Ujue ata tukipeleka 40 wanachukua wale
 
Squad depth

Psychology dogo Hana furaha since day one, na technically unaona kabisa poche Hana time nae

Kenge fc timu ya kipumbavu Sana
Ujue ata tukipeleka 40 wanachukua wale
Hatumtaki😅😅😅...agombee namba hukohuko alipo mpk awe starter...kikosi chetu halichezi mpira wa kufukuza upepo
 
Back
Top Bottom