toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,422
- 2,798
Mkuu muone daktari haraka kabla hujachelewaNikitazaa michuano ilivyo mingi halafu nikicheki na kakikosi chenu basi nacheka lakini naogopa![]()
Huu mtimu sioni kabisa mukitoboa top foo msimu huu.
Mkuu muone daktari haraka kabla hujachelewaNikitazaa michuano ilivyo mingi halafu nikicheki na kakikosi chenu basi nacheka lakini naogopa![]()
Huu mtimu sioni kabisa mukitoboa top foo msimu huu.
Ishakaa poaMimi nafungua kwa app,angalia huko juu nimetoa maelekezo jinsi ya kuingia kwa app bila shida

Kwli kabisa...huu ni upendeleo wa wazi😅😅😅Hii timu inabebwa sana ..inatengenezewa mazingira ya kubeba EPL. Haiwezekani mukae zaidi ya siku nane na bado munacheza jumatatu.
Arsenal yeyote anacheza , umesahau vs city ,sub zetu zilimfanya city apaki basi
Manjesta na Spurs wanavyocheza unaona kabisa itakuwa ujinga wetu tukishindwa kubeba points 6 kwa kila mmoja ,Manyumbu yanaongozwa
Carragher aliongea juzi, na Leo ka retweet Tena ,anasema manjesta ni wapumbavu walinunua DM miaka 30+ kwa £70m , ambaye anamaliza muda wake ,wakati Arsenal na Chelsea wamenunua asset za miaka 5-9 mbele, Rice na Caicedo , akasema manjesta watateseka Sana na pesa zitawatoka Sana kutafuta DM mzuri mwenye umri mdogoCasemiro hoi