arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Nimejaribu kusoma nimeona wamezi grade kuna grade 1..2..na 3...ya kwanza na ya pili ni simple...kupona kwake ni masiku mpk mawiki kadhaa the highest wiki 6...ila grade 3 ndo mbaya...inakuweka nje mpk miezi 3...tuombe isiwe grade 3
Injury yake huwa inamuweka mtu nje kwa muda gani