3-Diamond-3 Mfumo wa Johan cryuff ndani ya Arsenal,
Swali Kubwa msimu huu itakuwa kwenye Kujiandaa Kucheza dhidi ya hii Arsenal.
Imagine Ukiwa Steve Cooper Kocha wa Nortingham Forest wakati unafanya Maandalizi ya hii Mechi.Ni Lazima umetazama angalau mechi 2 au 3 zilizopita za Arsenal
At least uweze Kupata Picha.Lakini Mechi 3 au 2 za Arsenal Inverted Full back mara nyingi alikuwa ni Jurrien Timber akitokea Kushoto Kuungana na Thomas Partey Katikati
Inverted Full back anakuwa ni Thomas Partey akitokea Kulia kuingia ndani Kuungana na Declan Rice.,Arteta alipoulizwa kwanini umemuacha Gabriel Magalhaes nje akasema ni swala la kiufundi.
Sasa hapa unamuandaa Winger wako kwaajili ya kufanya Pressing.Unafanyafanyaje?
Back 3 ya Ben White,Saliba na Timber.Kuna wakati ilikuwa Thomas Partey,Saliba na Timber.
Kuna Wakati anayepita nje ya Bukayo Saka walikuwa wanabadilishana tu kati ya Thomas Partey na Ben White . Ni Just Composition and Decomposition of Matter


Haya nambie Ukiwa Kocha unaandaje timu yako kama Maswali yenyewe Muda wote yanabadilishwa?
Kuna nyakati Hujui pia anayeshuka Kuchukua Mali kutoka kwenye No 10 .Ni Martin Odegaard au Kai HAVERTZ?
Hii 3+1+6 ni Dawa Maalumu kwa wagonjwa wote mnaopaki Bus dhidi ya Arsenal msimu huu.
Back 3, ya BEN WHITE, SALIBA na JURRIEN TIMBER
SINGLE HOLDING ni Katekista Thomas Partey akitokea Kulia kama Inverted right back
LEFT HALF SPACE,ni Declan Rice.Msimu uliopita hapa alicheza Granit Xhaka
RIGHT HALF SPACE,ni Nahodha wa Meli Martin ODEGAARD

CENTRAL HALF SPACE,ni King KAI HAVERTZ au Trosaard atacheza kama Mshambuliaji wa Pili nyuma ya Nketiah/Jesus.
LEFT WINGER,ni Gabriel Martinelli
RIGHT WINGER,ni ni Star boy BUKAYO SAKA
Then Kwenye No 9 ni EDDIE ENKETTIAH au Jesus
Unashambuliwa na watu 6 ,na Mali Ikipotea Kuna watu 5 tayari kwaajili Kuzuia.
View attachment 2716750View attachment 2716751