hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,662
- 27,521
Yule mwamba anapinga sajili za kitapeli kama Hojlund kufeli vipimo na kufichwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lazima umuone sahihi.
Kama vipi ngoja nikamshawishi ahamie huku kwa Masterclass Mikel Arteta the tactician, aje afurahie Teta ball burudani kwa wote, aache kuteseka huko unyumbuni.
Anapinga sajili za kitapeli Kama za Anthony masebene,mount ,
Mpaka Sasa 7hag kashatumia €450m lakini anasema Hana mpango wakupigania EPL ,
Xyz yupo sahihi 100%