Kwa mara ya kwanza Liverpool wanatufunga nyumbani, meseji tosha kwa Wenger, timu nyepesi, mechi inayofuata ManU tuna majeruhi, suspensions na kama wenger hajaenda kusajili sasa sitomuelewa kabisaa.
2-0 ambazo hazina kujitetea.....yaani hapa tumezidiwa hakuna reason ya msingi ya kwa nini kwa jinsi tulivyocheza tuambulie hata DRAW.... well deserved Loss at home ground.... and next week the same shit will happen.... possibly kwenye CL mid week napo tia maji tia maji......

Wenger atachokwambia ni kwamba injury nyingi na red card zimeua, zaidi ya hapo atasema kikosi chake kiko fine haitaji kusajili mpaka aone quality player.