arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Sijui mkuu😅😅😅...nijuze ww unayejua...maana naona unaniuliza tu wkti nimekupa nafasi ya kunielezea na ww...unakwama wapi😅😅😅So hujui game plan ilikua inataka nini?
Sijui mkuu😅😅😅...nijuze ww unayejua...maana naona unaniuliza tu wkti nimekupa nafasi ya kunielezea na ww...unakwama wapi😅😅😅So hujui game plan ilikua inataka nini?
Hata Newcastle alipata bahati tu pale alipomaliza.....maana Liver walivyoamka it was too late😅😅😅...ila Hawa msimu huu nafasi Yao ya 6 kushuka chini huko kwa kina BrentfordUnamaanisha nini Arsenal alikua overachiever?
Kwenye hiyo ishu mi na wewe tumemalizanaSijui mkuu😅😅😅...nijuze ww unayejua...maana naona unaniuliza tu wkti nimekupa nafasi ya kunielezea na ww...unakwama wapi😅😅😅
Arsenal kumaliza wa 2 hajaoverachieve. Angechukua ligi ingekua kaoverachieveHata Newcastle alipata bahati tu pale alipomaliza.....maana Liver walivyoamka it was too late😅😅😅...ila Hawa msimu huu nafasi Yao ya 6 kushuka chini huko kwa kina Brentford
😅😅😅....sawa mkuuKwenye hiyo ishu mi na wewe tumemalizana
Mkuu ukikuta source yyt imetoa takwimu mtandaon hao ni watu kama sisi naww jiongeze tumia akili yako appearance sio kipomo cha kihesabu kwa player ambae co regular ungesema minutes play.....ndo unawez pata uhalisia mzuriMsimu uliopita stats ni hizi
Odergard Apps 37 Goals 15
Martineli Apps 36 Goals 15
Saka Apps 38 Goals 14
Jesus Apps 26 Goals 11
Trossard Apps 36 Goals 8
Nkentiah Apps 30 Goals 4
Newcastle stats zao ni hizi
Wilson Apps 31 Goals 18
Almron Apps 34 Goals 11
Barnes Apps 34 Goals 13
Isak. Apps 22 Goals 10
Joelinton Apps 32 Goals 6
Hapo barnes alikua yupo relegated team Leicester na bado he was. Hizo ndo takwimu official sasa wewe sijui unaongea nini hapo kwenye game time.
NB: ikumbukwe hapo arsenal mlikua ni overachiever mmeruka mpaka phase mnajiona mpo phase 3 mbele![]()
Leta maneno hehehehehehe naendelea kuangalia mpambanoMsimu uliopita stats ni hizi
Odergard Apps 37 Goals 15
Martineli Apps 36 Goals 15
Saka Apps 38 Goals 14
Jesus Apps 26 Goals 11
Trossard Apps 36 Goals 8
Nkentiah Apps 30 Goals 4
Newcastle stats zao ni hizi
Wilson Apps 31 Goals 18
Almron Apps 34 Goals 11
Barnes Apps 34 Goals 13
Isak. Apps 22 Goals 10
Joelinton Apps 32 Goals 6
Hapo barnes alikua yupo relegated team Leicester na bado he was. Hizo ndo takwimu official sasa wewe sijui unaongea nini hapo kwenye game time.
NB: ikumbukwe hapo arsenal mlikua ni overachiever mmeruka mpaka phase mnajiona mpo phase 3 mbele![]()

Ozil na Kai ni profile tofauti, hawawezi kufananishwaN
Ni dhambi kubwa mnoo kumfananisha fundi ozil na huyu kai, ana safari ndefu kufika kwa mesut, jana namuona hata kuuficha mpira kwake ni kazi.
Kaangalie highlightsGame ya juzi sijaicheki ila naona lawama ni nyingi kuliko pongezi
Performance ilikuaje? au mashabiki tumepanic tu? Kulikua na blander zozote?Kaangalie highlights
Nimekuelewa Sana, to be unpredictable ni safe zaidi kuliko kutabilika kuwa wewe huwa unaingia hivi tu3-Diamond-3 Mfumo wa Johan cryuff ndani ya Arsenal,
Swali Kubwa msimu huu itakuwa kwenye Kujiandaa Kucheza dhidi ya hii Arsenal.
Imagine Ukiwa Steve Cooper Kocha wa Nortingham Forest wakati unafanya Maandalizi ya hii Mechi.Ni Lazima umetazama angalau mechi 2 au 3 zilizopita za Arsenal
At least uweze Kupata Picha.Lakini Mechi 3 au 2 za Arsenal Inverted Full back mara nyingi alikuwa ni Jurrien Timber akitokea Kushoto Kuungana na Thomas Partey Katikati
Inverted Full back anakuwa ni Thomas Partey akitokea Kulia kuingia ndani Kuungana na Declan Rice.,Arteta alipoulizwa kwanini umemuacha Gabriel Magalhaes nje akasema ni swala la kiufundi.
Sasa hapa unamuandaa Winger wako kwaajili ya kufanya Pressing.Unafanyafanyaje?
Back 3 ya Ben White,Saliba na Timber.Kuna wakati ilikuwa Thomas Partey,Saliba na Timber.
Kuna Wakati anayepita nje ya Bukayo Saka walikuwa wanabadilishana tu kati ya Thomas Partey na Ben White . Ni Just Composition and Decomposition of Matter
Haya nambie Ukiwa Kocha unaandaje timu yako kama Maswali yenyewe Muda wote yanabadilishwa?
Kuna nyakati Hujui pia anayeshuka Kuchukua Mali kutoka kwenye No 10 .Ni Martin Odegaard au Kai HAVERTZ?
Hii 3+1+6 ni Dawa Maalumu kwa wagonjwa wote mnaopaki Bus dhidi ya Arsenal msimu huu.
Back 3, ya BEN WHITE, SALIBA na JURRIEN TIMBER
SINGLE HOLDING ni Katekista Thomas Partey akitokea Kulia kama Inverted right back
LEFT HALF SPACE,ni Declan Rice.Msimu uliopita hapa alicheza Granit Xhaka
RIGHT HALF SPACE,ni Nahodha wa Meli Martin ODEGAARD
CENTRAL HALF SPACE,ni King KAI HAVERTZ au Trosaard atacheza kama Mshambuliaji wa Pili nyuma ya Nketiah/Jesus.
LEFT WINGER,ni Gabriel Martinelli
RIGHT WINGER,ni ni Star boy BUKAYO SAKA
Then Kwenye No 9 ni EDDIE ENKETTIAH au Jesus
Unashambuliwa na watu 6 ,na Mali Ikipotea Kuna watu 5 tayari kwaajili Kuzuia.View attachment 2716750View attachment 2716751
Walipopata Goli wakawa wacheza mipira mirefu ikatusumbua ,Basi Kama kawaida mashabiki hawakosi pakulalamikiaPerformance ilikuaje? au mashabiki tumepanic tu? Kulikua na blander zozote?
Huyo source za FA wenye ligi yao hazikubali anataka source za MasingeliView attachment 2716672
Uongo ukwapi hapo mzee? Hao ndo wenye ligi wameonyesha then unataka niangalie upya wapiunabishana na hawa wenye ligi ama?

Wenger orphans mnaongeaga utadhani timu yenu ndo Ina mbinu izo peke yake tulieni next mwezi tuwaonyeshe kuwa nyie ni wapiga porojo tu.3-Diamond-3 Mfumo wa Johan cryuff ndani ya Arsenal,