makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,428
- 108,438
Hivi tulitengeneza clear chances ngapi?Hao hao ndio wakwanza kusema kocha Hana plan B
Timu zinazokaa nyuma kina manjesta,forest ,n.k walishatujulia kwenye 4-3-3
Forest walikuwa wanapaki Basi na watu 5 tukicheza 4-3-3 tunashindwa kuwafungua
Jana Kocha katumia 3-diamond-3 yenye attackers 6
MTU anakwambia huo mfumo mbaya sababu tulipigwa kaunta moja
Ni mfumo gani ambao haujawahi kupigwa kaunta[emoji1787]