Kwa hali ilivyo mpaka sasa, Arsenal ndiyo timu ngumu zaidi kujiandaa kucheza nayo duniani...
Mtabisha


Utofauti wa Arsenal wa kimbinu uko tofauti msimu huu kulinganisha na msimu uliopita.
Kama kuna chochote unejifunza leo unaona namna gani Arsenal wanajaribu kucheza na Kila Aina ya mpinzani
Mfn pre Season tulicheza na timu Kama man u waki base na physical battle tukapoteza tukajifuza tukampiga Barcelona kwa Mbinu tofauti ila based on physical battle
Msimu huu hutajua Arteta anakupangia Backline ipi ..
Kuna ambao mnalalamika kuwa Gaby anaanzia nje poleni ..sio swala la mapenzi Wala Nini Ni swala la kimbinu zaidi Tena limekaa poa maana hutajua Arteta anakuja vipi
Wengi wenu mnalalamika baada ya ku concede goal


SMH
Kuna mambo lazima tuwe tunajifunza kwa utulivu bila mihemko
Today our new signings wameanza wote Tena kwa kiwango Bora tunaona wanavyozoea mazingira ya timu kwa ujumla na katika nafasi ambazo walikotoka hawakuwahi cheza
Mipishano kati ya Rice na Havertz ni mizuri Sana unaendana na sifa zao zote mbili. kikamilifu.
3-1-6 si kitu ambacho tumekiona chini ya Arteta bado tukumbuke msimu uliopita Ali base na 4-3-3, lakini hapa tunaona timu yenye mbinu nyingi zaidi duniani (kwa sasa) inayoendelea kubadilika..Arsenal inaenda na 3-1-3- 3..
Timber- Saliba - Whitr
Partey
Odegaard- Havertz -Rice
Saka - Nketiah - Martinelli
-Havertz akibadilishana upande na Nketiah/Odegaard.
- Eddie anaenda kulia Havertz akiwa anapanda juu
Haya sijui mmeona !?
Wachezaji wachache katika mpira wa kisasa wanafiti Katika mfumo huu 3-1-6 kama Kai Havertz.
Anashambulia kwenye box akutoka chin, ana nguvu, mtu anayetumika Kama target man kwa mipira mirefu, anashinda mipira ya kwanza,Kila anapokuwa targeted
Kiufupi bado tutaona Mengi
Tuombe Timber arejee salama
Saka bado halindwi ipasavyo na marefa.,
Endeleeni kutoa mapovu Watanzania wajuzi wa mpira wa malalamiko


