Trossard.katika mchezo wa karata huwa kuna karata ya kumaliza mchezo.wengine huita wildcard.
Kwa arsenal hii ni wazi kwa pale mbele trossard ni bora kuliko wachezaji wetu wengi.anapace,anadrible,anashoot with both legs,ana jicho la mpira,ana workrate kubwa,ana senior mentality na ana utulivu mkubwa.
Arteta anamuacha nje kama kura yake ya turufu yaani game changer.pale tempo ya mpira inaposhuka yeye anakuja kama nguvu mpya.
Kuna wakati mahrez alikuwa anaanzia nje mech kubwa,kdb huwa anaachwa nje kama plan b ya mech.
Mnaona tunamhitaji kudus ushajiuliza wanini wakati una saka na nelson?
Epl inahitaji plan A,plan B na plan C sometimes kwenye game moja.
Ila naungana na wengi humu hasa @Castr.we need a striker hasa for some games.