momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,046
- 2,155
Hii mechi Arteta kazingua sana
Anatimiza namba ya wachezaji uwanjani.Kai mtumishi hewa
Against Liva au United magoli ya hivi unapigwa hata 6



Yani Wenger orphans ya vijembe na ya uwanjani ni mbili tofauti kabisa.Hili jukwaa letu lina watukanaji wengi.Makalio wewe
Unaangalia mpira kweli, Timber kapiga kazi acha utani.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Labda Kai ila sio timber bossHili jukwaa letu lina watukanaji wengi.
Yes narudia tena hapa kwa Kai na Timber tumepigwa mchana kweupe
Hili jukwaa letu lina watukanaji wengi.
Yes narudia tena hapa kwa Kai na Timber tumepigwa mchana kweupe






Mfumo wa arteta unakula nguvu sanaUle ugonjwa wa last season bado upo tunaanza vizuri ila mwisho wa game pressure
Yeah, tabu ya Arteta anahamisha wachezaji from their natural positions unategemea nini? Na wenye nafasi hizo wapo wengine anataka kuwauza...shenzi kabisa.Tunarizika mapema
Hatuwezi ku maintain cleenshit
Labda kai sio timber yule mtu kipind cha1 chote upande wa kushoto ulikuw hauruhusu mashambulizi kuja kwetuHili jukwaa letu lina watukanaji wengi.
Yes narudia tena hapa kwa Kai na Timber tumepigwa mchana kweupe
Arsenal inahitaji MSHAMBULIAJI(GOAL SCORER) hili tumelipigia kelele sana imagine tumeshika chupi mkononi wakati game ilitakiwa iishe half time ball possession 85 for 15 but sisi roho mkononi na Champions league kwa style hii ya uchezaji kama goal la kwanza tuliroruhusu kazi ipo ,Arteta muda anao aingie sokoni na Edu walete killer goal scorer ASAP
Anataka kutuaminisha ujinga...Labda kai sio timber yule mtu kipind cha1 chote upande wa kushoto ulikuw hauruhusu mashambulizi kuja kwetu
kai hakutakiwa kumaliza dk 90 ,alishachoka mda tu sema lbd kwa kuwa forest walianza kutumia mipira mirefu na nd mana arteta akamuacha amalize game..
So far not convinced if Kai has quality to play for arsenal
Sisi mashabiki wa Arsenal at times tunakua cry babies sana asee.Hili jukwaa letu lina watukanaji wengi.
Yes narudia tena hapa kwa Kai na Timber tumepigwa mchana kweupe


kwa mwendo huu ,soon mtaanza kula chuma ,kama forest tu kawatoa jasho ....Sisi mashabiki wa Arsenal at times tunakua cry babies sana asee.
Timber anacheza out of position na anaupiga mwingi tu.
Hivi unamjua Mtu anaitwa Bernado Silva ?? Huyu mreno hatari sana, Timber kwenye first game tena out of position alimfanya mshkaji hakua effective kabisa.
Sielewi at times tunataka wachezaji wa aina gani?
Kai bado anaadapt na system ya arsenal ila nadhani kocha anapenda namna mshkaji anavyohold mpira na jinsi anavyocheza akiwa hana mpira, mshkaji ana akili sana changamoto yake ni mzito na mpira wa arsenal uko quick kidogo. Naomba apewe muda ajiprove its too early to judge him asee.