Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lile ni sahani la kulia ubwabwa tu
Cry more
20230809_085006.jpg
 
[emoji599]Gabriel Jesus injury is not as bad as first feared with the player expected back in the gym next week, and then back on the training pitch the week after.

He also told reporters he’s “feeling good” after the FA Community Shield win last weekend.

Arsenal’s number nine will be back in no time.
 
[emoji599] After losing Embolo to an ACL injury, Monaco have now lost Wissam Ben Yedder, as the striker is charged with rape, attempted rape & sexual assault.

Surely they go all out for Balogun now.
 
Ila wakuu wengine uvumilivu wa kishabiki Amna kabisa utadhani ni vita punguzeni u serious mpira sio uadui ni burudani.

Naona mnavuka mipaka sasa wakati mpira ni kutaniana Sasa nyie sio utani ni matusi.
Ukijijua uwezi utani Bora ukaushe tu.
Yani hizi mbanga zikishazidiwaga ndio zinaishiaga kutukana😂😂😂
 
Nyie matakataka nawachukia kinoma n leo munapakuliwa mapema tu na wazee wa Forest
Hata mkichukua na Mbape...nafasi yenu ni ile ile...5 kushuka chini huko😅😅😅....ila tajiri miluzi kuna siku wamiliki wa vilabu vyte pale Uingereza wataandamana afukuzwe maana hiki anachokifanya sio mpira tena ni Fujo za usajili...atasababisha wachezaji wa 500 wauzwe 10000
 
Mkuu kwa musimu huu tutafanya vizuri amini nakuambia Chelsea tunabeba ligi.😂😂
 
Mkuu kwa musimu huu tutafanya vizuri amini nakuambia Chelsea tunabeba ligi.😂😂
Mkuu kubeba ligi na hiki kikundi cha watu mlichokusanya ni ngumu...sanasana kwa mbaaaaali nawaona mkijaribu kuwatoa Manyumbu pale juu....ila bado safari ndefu...kesho mnapata Draw
 
Mkuu kubeba ligi na hiki kikundi cha watu mlichokusanya ni ngumu...sanasana kwa mbaaaaali nawaona mkijaribu kuwatoa Manyumbu pale juu....ila bado safari ndefu...kesho mnapata Draw
Livakuku wale tunawanywa supu, Chelsea ni surprised package ya musimu huu. Wale madogo watafanya maajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom