Brother....leo ni siku nzuri sana kwenye ulimwengu wa soka.....binafsi nimefurahi sana tajiri miluzi kufanyiwa alichofanyiwa...alishajiona yy ndo Mafia peke yake kumbe kuna wahuni huwa wanamuangalia tu...safari hii kajichanganya....ww unamtaka Caicedo yann kwenda kuingilia madili mengine ya watu kuharibu biashara....Sasa kapinduliwa yy....yaani wameshafungwa kabla hata ya mechi ya jumapili tyri








Trossard fundi haswaHuyu Trossard sijui nimuweke kundi la Cazorla Kwa matumizi ya miguu yote haswa kwenye shooting. Kwa mbali huwezi jua anatumia mguu gani. Martinelli ana shoot na kushoto lakini zaidi akiwa ndani ya box. Saka anashoot na kulia lakini anakuwa confident kushoot na kulia akiwa ndani ya box. Trossard hajali Yuko ndani ama nje ya box. Halafu anajua kulenga goli. Namuona akiwa na 15+ goals na 10+ assists kama tukicheza kama last season
Hii Ni taarifa nzuri Sana hakika,tunamhitaji Sana Kwenye game ya Man Utd.Gabriel Jesus is on track to be fit for the match against Manchester United (H) on September 3rd
His recovery is progressing as planned
Individual training to commence next week, with full team training expected in the coming weeks![]()
Mkuu tajiri miluzi kaharibu hali ya hewa🤣🤣🤣... Liverpool ilishaingia kwny mbio za ubingwa kwa usajili wa Caicedo ila kumkosa tena wanarudi kuwa wa kawaida....Chelsea wanajitahidi ila wasahau top 4 hata wakimpata Mbape....Ubaya Ubaya tuMbona kama hizi habari zinachanganya mkuu
Caicedo kama kaikataaa liverpool asubuhi kweupe ama vyanzo vya habari ni batili?
Brother....leo ni siku nzuri sana kwenye ulimwengu wa soka.....binafsi nimefurahi sana tajiri miluzi kufanyiwa alichofanyiwa...alishajiona yy ndo Mafia peke yake kumbe kuna wahuni huwa wanamuangalia tu...safari hii kajichanganya....ww unamtaka Caicedo yann kwenda kuingilia madili mengine ya watu kuharibu biashara....Sasa kapinduliwa yy....yaani wameshafungwa kabla hata ya mechi ya jumapili tyri


Tajiri miluzi ni next level yule, tayari kashapiga comeback ya hatari ngoja nikuitie Mkohoti aje kuwavimbia humu. 

🤣🤣🤣...Magwaya kashikilia bomba haondoki Unyumbuni mpk mumlipe hela yake ya kuwa muaminifu kwa klabu....kipindi mnataka kufungwa yy alikuwa anaokoa zingine zisiingie kambani....Sasa hamuwezi tu kumfukuza kienyejienyejiTajiri miluzi ni next level yule, tayari kashapiga comeback ya hatari ngoja nikuitie Mkohoti aje kuwavimbia humu.
Baada ya Caisedo anafuata Lavia halafu wataupiga mwingi sana kama wakimsajili na huyu beki wa boliView attachment 2714628
Nimependa sana falsafa ya Edu na Arteta....wanataka wakikufata uwe tyri kwa ajili ya wao tu....sio kuwa na akili mbilimbili...maana hyo inaleta bidding war mwshowe mnapigwa mahela mengi....Brighton ni makatili kwenye biashara....ndo maana Kudus kawashtukia kaona awapotezee kwanza
That is because he didn't want to play for Brighton anymore...alishakosana na kocha wake De Zerbi....and once tulipoenda kumfata baada ya kumkosa Mudryk....he said yes Right away....so it was easy...ndo maana dili haikuchukua hata siku 4....na ilikuwa ni bahati ya mtende kumpata jamaa maana nilikuwa namkubali muda mrefu sana kwa aina ya mpira wakeNope we got Trossard for cheap
Caicedo pia aliandika hadi barua kuwa anataka kwenda Arsenal na hataki kucheza tena Brighton, akaacha kuudhuria mazoezi ila still Brighton walikaza hauzwi Kwa sababu walijua watakuja kupiga hela next window, ndomana wakampa na mkataba mpyaaaaThat is because he didn't want to play for Brighton anymore...alishakosana na kocha wake De Zerbi....and once tulipoenda kumfata baada ya kumkosa Mudryk....he said yes Right away....so it was easy...ndo maana dili haikuchukua hata siku 4....na ilikuwa ni bahati ya mtende kumpata jamaa maana nilikuwa namkubali muda mrefu sana kwa aina ya mpira wake
Nakubaliana na ww....lakini unadhani kwnn alikubali kubaki...mosi...walimuahidi kumpandishia mshahara maana alikuwa analipwa hela ndogo sana nadhani £15k au 20k kama sikosei...lakini walimuomba abaki Ili wamboreshee mkataba wake nadhani walimpandishia hadi 60k na wakamuahidi kumuuza mwsho wa msimu... Trossard alikuwa na bifu na kocha....Caicedo hakuwa na bifu na mwalimu hvyo kuna tofauti...Caicedo pia aliandika hadi barua kuwa anataka kwenda Arsenal na hataki kucheza tena Brighton, akaacha kuudhuria mazoezi ila still Brighton walikaza hauzwi Kwa sababu walijua watakuja kupiga hela next window, ndomana wakampa na mkataba mpyaaaa
Kwa upande wa Trossard Issue kubwa ilikuwa ni Age yake na kwakuwa aliweka mgomo kuendelea kucheza Brighton waliona kuwa hawatokuja kupata hela zaidi ya £27 ambayo Arsenal anatoa
Pamoja MkuuNakubaliana na ww....lakini unadhani kwnn alikubali kubaki...mosi...walimuahidi kumpandishia mshahara maana alikuwa analipwa hela ndogo sana nadhani £15k au 20k kama sikosei...lakini walimuomba abaki Ili wamboreshee mkataba wake nadhani walimpandishia hadi 60k na wakamuahidi kumuuza mwsho wa msimu... Trossard alikuwa na bifu na kocha....Caicedo hakuwa na bifu na mwalimu hvyo kuna tofauti...
Chukua odds15 wew muind anawaingza mkenge c unamkumbuka awoniyi kitu alowafanya