hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,286
- 26,693
Yaan unatuchukia majiran ,unashindwa kuwachukia manjesta wapiga keleleNyie matakataka nawachukia kinoma n leo munapakuliwa mapema tu na wazee wa Forest![]()
Yaan unatuchukia majiran ,unashindwa kuwachukia manjesta wapiga keleleNyie matakataka nawachukia kinoma n leo munapakuliwa mapema tu na wazee wa Forest![]()
Mateso yanaendelea Leo kwa Wenger orphans.Yaan unatuchukia majiran ,unashindwa kuwachukia manjesta wapiga kelele

Leo tunaanza kwa kukaa pale juu 4-0
Nyie ni wenetu wa London siwachukii hata kwnza nashukuru mulimupasua yule man shitye ..mimi najua muna kikosi bora kazeni mubebe ligi angalau mubadili hali ya ushindi maana shitye akibeba tena hii EPL itakuwa kama ligue One tuYaan unatuchukia majiran ,unashindwa kuwachukia manjesta wapiga kelele
Leo mushinde maana kikosi chenu kimeishajenga chemisty nzuri.🤣🤣🤣🤣....mwaka jana Hawa watoto walipokuja na kina Lindegaard walikula 5 pale Emirates....Sasa leo ongeza 1 lingine...wanakula 6 leo...iwe statement kwa Manyumbu kwmba msipofanya usajili tena mtakuja kutulaumu tu mkija pale
Izo madili zikitiki titatisha sana..yani tutapiga kila takataka itayokatiza mbele etu. 😂😂😂Kama mnafanikisha usajili wa Caicedo, Lavia na Olise
Mimi naanza kuwaona mkipambania top 4 , na Manjesta namtoa
Msimu huu wamenunua ubwabwa, FA ikaona bora iwazawadie Sinia la kuwekea ubwabwa.Lile ni sahani la kulia ubwabwa tu
Msimu huu wamenunua ubwabwa, FA ikaona bora iwazawadie Sinia la kuwekea ubwabwa.
Wazee wa one season wonder kama kawaida mechi za mchana wa jua kali hua haziwaachi salama.
Pale Nottingham Forest tuna agent wetu Antony Elanga na Straicker la magoli Taiwo awoniyi.
Arsenyau tunawakumbusha tu hawa Forest ni miongoni mwa zile timu zilizowafunga speed governor kwenye zile mechi za mwisho za ligi msimu ulioisha kwa kuwagonga goli 1 - 0 na kuzima ndoto yenu ya kubeba kombe. View attachment 2715173
Mbona tulishakifanyia kazi tokea Marekani, hatutaki tu vile visababu vyenu vya utetezi visivyo na mashiko baada ya kufungwa kua Man Utd tulikamia mechi.Ww weka Kila matokeo ila leo tutatoa statement...maana tukicheza leo zinabaki mechi mbili then mje nyie ndugu zetu....Sasa kitakachowakuta wenzenu leo mkifanyie kazi mapema tusije tukaja kulalamikiana siku ya hukumu yenu pale Emirates
Beki wengi hapo wa Nini?My predicted lineupView attachment 2715177
Kasoro arsenalIzo madili zikitiki titatisha sana..yani tutapiga kila takataka itayokatiza mbele etu. 😂😂😂
Mechi ya audition tujisumbue...tungekamia siku ile watu wetu wte muhimu wangeumizwa....halafu City tungemdundaje Sasa🤣🤣🤣....nyie Emirates huwa mnakuja kutimiza ratiba tu ila matokeo huwa yanajulikana siku zteMbona tulishakifanyia kazi tokea Marekani, hatutaki tu vile visababu vyenu vya utetezi visivyo na mashiko baada ya kufungwa kua Man Utd tulikamia mechi.
Tunawaomba mapema kabisa kua kama kukamia mechi ni kitu rahisi na nyie kamieni basi mpate japo draw.
Beki wengi hapo wa Nini?
Hii inahitaji beki watatu au wawil wengine wote Kule mbele kupeleka Moto
.
Kama alivyofanywa city kipindi Cha pili
Rowe, trossad, nketiah, odegard, saka, partey.
Watajua wenyewe watajipangaje





Arteta on Declan Rice -