Wakiweza kumuongeza lavia na beki 1-2Wazee swala la liverpool kimpata caicedo limebadili kila kitu kwenye title race.kuna hatari kubwa
Waambie hawaTatizo lenu nyie kondoo wa Arteta hampendi kuambiwa ukweli.
Halafu mnajiaminisha mna timu bora dunia hakuna wa kuifananisha nayo, yaani kila mchezaji wa timu nyingine haingii kwenye 1st eleven ya Asre88.
NYie makondoo nahis kuna tube light kichwani imeisha choke.
Jiweke mwenyewe achana na dada akoArsexual arsenyeto laana fc mliochukua ni sahani tu mkimaliza Top four mje kimara niwapa dada angu
Mkuu tumekushtukia, unatumia ujanja wa kutuuzia dada. HatutakiiiArsexual arsenyeto laana fc mliochukua ni sahani tu mkimaliza Top four mje kimara niwapa dada angu
Kushuka daraja Kuna waita kitaenda kuwakuta kilichowakuta Southampton nao walikuwa Bora Sana kwa kuuza wachezaji wakali kikowapi saizi.Brighton sales in the past year:
Caicedo £110m
Cucurella £62m
McAllister £55m
Bissouma £35m
Trossard £27m
Sanchez £25m
Burn £13m
Maupay £12m
Total = £389m
![]()
Usiogope haendi LiverpoolWazee swala la liverpool kimpata caicedo limebadili kila kitu kwenye title race.kuna hatari kubwa
Kwa Chelsea watapata mchezaji mzuri ila wampe nafasi mwalimu sio anadundwa mechi kadhaa wanaanza Pochettino out....ila kiukweli tajiri miluzi pumbavu sana🤣🤣🤣....katunyamazisha wte *****Usiogope haendi Liverpool
Nimependa sana falsafa ya Edu na Arteta....wanataka wakikufata uwe tyri kwa ajili ya wao tu....sio kuwa na akili mbilimbili...maana hyo inaleta bidding war mwshowe mnapigwa mahela mengi....Brighton ni makatili kwenye biashara....ndo maana Kudus kawashtukia kaona awapotezee kwanzaRaul Sanllehi:
“When Arsenal knocks on the door of players, it’s a different knock than other clubs.”View attachment 2714486
Players with uncertain futures still at the club:Nimependa sana falsafa ya Edu na Arteta....wanataka wakikufata uwe tyri kwa ajili ya wao tu....sio kuwa na akili mbilimbili...maana hyo inaleta bidding war mwshowe mnapigwa mahela mengi....Brighton ni makatili kwenye biashara....ndo maana Kudus kawashtukia kaona awapotezee kwanza
Mohammed Elneny ana uncertainty gani....yule kaongezewa mkataba mwaka jana tu...haendi popote anabaki kuwa kama muhamasishaji na kucheza tu anapotakiwa...Kieran Tierney ni 50/50....ila hao wengine come 1st September hawatakuwepo klabuni kwa namna yyte ilePlayers with uncertain futures still at the club:
• Folarin Balogun
• Rob Holding
• Nuno Tavares
• Nicolás Pépé
• Cedrić
• Mohamed Elneny
• Kieran Tierney
• Albert Sambi Lokonga
• Alex Runarsson
Elneny mtoe hapo ,kwanza nimeona kafungua na academy, anajifunza ukocha chini ya Arteta ,ni muhamasishaji dressing roomPlayers with uncertain futures still at the club:
• Folarin Balogun
• Rob Holding
• Nuno Tavares
• Nicolás Pépé
• Cedrić
• Mohamed Elneny
• Kieran Tierney
• Albert Sambi Lokonga
• Alex Runarsson