D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Drama za usajili
Kuanzia juzi usiku Liverpool alipopeleka ofa kwa Brighton,akaanza kutajwa Kama title Contender
Hiyo Hali imedumu kwa masaa machache ,Chelsea wanarudi ulingoni
Na Sasa wanakaribia kukomba na Lavia ambaye Liverpool alikuwa anategemea
Ndan ya masaa 24 watu wamemtoa Tena Liverpool Kama title Contender![]()


Kichapo kwa nan sasa mbona mnaongea hamjiaminiArsenyani Leo kichapo kama kawaida yatima nyie
Watabiri wahali ya hewa wanasema eti ni draw leoFriends of Nottingham forest tupo hapa. Naona wingu zito jeusi limetanda angani bundi kila kona wanalia![]()
Sijaelewa hii formation aseeeeeeUna Ode, saka, havertz,Martinel na Nketia zitakosekana vipi goal 4 uko mbele
Leo Nketia analingana goal na Halland
Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Nachoona Partey mara nyingi atakua katikati kwenye kuanzisha mashambulizi lazima atausika kwa aslimia kubwa sanaHamu ya kumharakisha Rice kukaa pale kati inafanya Partey awe beki wakati Tomiyasu yupo
Naona hivyo piaNachoona Partey mara nyingi atakua katikati kwenye kuanzisha mashambulizi lazima atausika kwa aslimia kubwa sana
Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Mimi naona hii game itakuwa na fluidity ambayo ni more diffensive uwepo wa saliba,white na timber ambao ni CB na partey ambaye ni DM kwangu hii inaniambia ingawa tunatafuta ushindi lakini tunaangalia usalama kwanza.Nachoona Partey mara nyingi atakua katikati kwenye kuanzisha mashambulizi lazima atausika kwa aslimia kubwa sana
Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Wametoa sababu?Kick off delayed
Uhuni sanaKick off delayed
Hata kwangu imegoma nimewasha DSTV na kuzima nikihisi ni networkHapa Nilipo DStv Imegoma , Vipi Uko Kwenu Mnacheki Au